Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

Ndo huyohuyo sahiz anakaa pale posta nyuma ya JNICc analipa 800k kodi ya nyumba kwa mwezi
Kwamba hajajenga nyumba ya kuishi au hajapenda kujenga nyumba ya kuishi au kaamua tu kuishi mjini kati na kuacha nyumba aliyojenga kwa ajili ya uwekezaji...

Jamaa kashatoboa kitambo huyo, NGO yake pekee inamuingizia maokoto ya kufa mtu kutoka kwa Dona..
 
Yani ana heka 300 pale mkuranga, watoto wa Muhas wote simu yake moja tu hupeleki CV wala nakala ya cheti chochote.

Nyumba tjnajenga mm na wewe ya vyumba viwili ili tutafte wenzetu ambao hawana tuwanange kuwa maskini. Nyumba kwa tajiri sio kipaumbele mkuu, hana uoga wa kesho. Ndo mana raraa reree hana njaa na hana kinyongo, hana jealous ,hana Envy. Ndo mana anatembezaga like tu
 
Nimekubali 😄
 
Anastahili sana kuwa hivyo, kapambana na NGO yake sana miaka 10 sasa.

Afurahie matunda ya jasho lake
 
Huyu mwamba raraa reree mwenyewe nikawa najiuliza huyu jamaa anapata wapi mda wa kulike kila comment. Kifupi sina jibu mpaka leo😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…