Arch Barrel
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 434
- 1,126
Mkuu mbona hutoi kadi ya mwaliko hata moja?Na hii ata like
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona hutoi kadi ya mwaliko hata moja?Na hii ata like
Kitengo cha kutoa kadi kamati imemwachia roraa rereeMkuu mbona hutoi kadi ya mwaliko hata moja?
😂Wakuu,ni muda Sasa nimekua nikipata likes za bwana raraa reree,Kuna faraja Fulani kupata like,kwamba umeandika kitu chenye maana,lakini raraa reree hu-like comment yoyote hata ya hovyo,na zaidi hu-like comment zote kwenye nyuzi zote,hili ni gumu kwa kawaida
Isije kuwa raraa reree ni mtu Fulani wa kitengo mwenye software inayomsaidia kupata taarifa zetu kwa ku-like kila comment kwenye kila Uzi,maana huko nyuma palikua na madai kwamba mtu akikutumia msg private kule,ukijibu basi ana uwezo wa kukufahamu wewe ni nani
Mwisho,sijawahi ona comment yake huyu bwana
Kishanipa like kitamboJiandae ku-pata likes na huu uziwako
Aaaaaah Nyamwi255 mi mwenyewe na kutaka ujue hizo kadi nitazichoma moto 😄Kitengo cha kutoa kadi kamati imemwachia roraa reree
Nakuka PM Miss Natafuta 😚 umeshanipataNataka nimdangie .raraa reree ukifa huozi boss wangu.
Yaani nampenda balaa
Kwa Mara ya kwanza naona comment yakoAaaaaah Nyamwi255 mi mwenyewe na kutaka ujue hizo kadi nitazichoma moto 😄
HujaulizwaHuyo hata ukimtukana yeye mwenyewe anakugongea like sio shida zake 😹😹😹
Umedangia wangapi hadi sasa we shangazi?Nataka nimdangie .raraa reree ukifa huozi boss wangu.
Yaani nampenda balaa
RobotWakuu,ni muda Sasa nimekua nikipata likes za bwana raraa reree,Kuna faraja Fulani kupata like,kwamba umeandika kitu chenye maana,lakini raraa reree hu-like comment yoyote hata ya hovyo,na zaidi hu-like comment zote kwenye nyuzi zote,hili ni gumu kwa kawaida
Isije kuwa raraa reree ni mtu Fulani wa kitengo mwenye software inayomsaidia kupata taarifa zetu kwa ku-like kila comment kwenye kila Uzi,maana huko nyuma palikua na madai kwamba mtu akikutumia msg private kule,ukijibu basi ana uwezo wa kukufahamu wewe ni nani
Mwisho,sijawahi ona comment yake huyu bwana
Leo kakomentRobot