Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

Wakuu,ni muda Sasa nimekua nikipata likes za bwana raraa reree,Kuna faraja Fulani kupata like,kwamba umeandika kitu chenye maana,lakini raraa reree hu-like comment yoyote hata ya hovyo,na zaidi hu-like comment zote kwenye nyuzi zote,hili ni gumu kwa kawaida
Isije kuwa raraa reree ni mtu Fulani wa kitengo mwenye software inayomsaidia kupata taarifa zetu kwa ku-like kila comment kwenye kila Uzi,maana huko nyuma palikua na madai kwamba mtu akikutumia msg private kule,ukijibu basi ana uwezo wa kukufahamu wewe ni nani
Mwisho,sijawahi ona comment yake huyu bwana
Ame like na hapa....
 
raraa reree chukua like 👍 hii
 
raraa reree ni mtu mwema sana. Hana shobo wala stress, ana show love lwa members wote bila kujali umeandika pumba au madini. Na yeye pia ana post, angalia profile yake hapa

Screenshot_20240706_160123_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom