Hivi Rich Mavoko yuko wapi?

samahan mjomba nnashida na buku 10
Niko seriously
 
Niongee basi ml. 30 tu nijengee nyumba ya kawaida
 
Sibishani na kula kulala. Ukikua utajua. Nyumba nimejenga na imenigharimu zaidi ya milioni 300 sasa hapo hivyo vi mark X vyako si ningefungua yard kabisa
Second end ni cheap,new bland inaweza fikia 80m na zaidi
 
Dogo wenzio wanakushangaa kwa kuwa hujui gharama za ujenzi. Mark X inauzwa milioni 15 na mabati ya Alaf ya nyumba ya vyumba vinne yale kama vigae ni milioni 25

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani mavoco alinunua second end mark x?
Maana mmekadhania mil 15 (cjui ni vichwa vimezoea vitu vya used [emoji1438]‍♂️)

Wakat kuna mark x zinagonga mpaka 75m mpya
 
Kwani mavoco alinunua second end mark x?
Maana mmekadhania mil 15 (cjui ni vichwa vimezoea vitu vya used [emoji1438]‍♂)

Wakat kuna mark x zinagonga mpaka 75m mpya
Hao wasanii makanjanja hawawezi kununua hiyo gari ndogo kwa bei hiyo. Si bora angenunua Range Rover used avimbe mjini kuliko kuendesha kagari kama Mark X vya watoto wanaoanza kazi wananunua kwa mikopo yao ya kwanza baada ya ule wa Loan Board
 

mkuu naomba nikukosoe, Diamond ana kipaji sana na ndiye mwanamziki wa kwanza mimi kumkubali kwenye Bongo flava, mimi nilikuwa sisikilizi kabisa hizi bongo flava maana sikuzipenda
Diamond ana kipaji ila sasa hivi anapotea,haya manyimbo mengine anayoimba simuelewi kabisa mfano nyegezi nk
nyimbo zake kama NTAMPATA WAPI , KIZAI ZAI ,KAMWAMBIE na UKIMUONA ndizo Bongo flava za pekee zipo kwenye simu yangu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usemayo ni kweli. Diamond wa zamani sio huyu wa sasa. Mbagala, kamwambie, nimpende nani, moyo wangu, lala salama, nitarejea, nana, halo na nyingine kama hizo zilimuweka kuwa wa kipekee. Alipoanza kuimba haleluya ndipo aliharibu mpaka jeje. Siku hizi anaimba lugha yake mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…