Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Aisee! Kumbe walimtenda vibaya hivyo? Mbona hizo habari hazijulikani kwa wengi? Bora zingewekwa wazi kwa manufaa ya vizazi vijavyo. Kuna la kujifunza katika hayo.
 

Dah usimuaibishe mzee wa watu bana
 
Kati ya mawaziri wa zamani wenye nyumba nyingi na maeneo ya Hadhi huyu mama yumo aisee...kama mkapa ndio aliwezesha yote hayo basi kongole kwake huyu mama maana alijituma vizuri kuhakikisha uzee wake hapati tabu .

Mama muda wote kajitandaza magold
Hadi leo anaishi vizuri pesa sio tatizo
 
Kwanini hakuacha wosia wa kukataza kuzikwa kwa wachawi?
Kwanini alirudi kuomba kura kwa wachawi.
 
Ben amelala
Sidhani kama ni hekima kuanza kujadili haya.

Hatujifunzi lolote hapo maana sisi wanaume tunaongoza kwa infidelity, kwa hiyo mtunzie heshima Hayati wetu
...Tunajifunza Kitu. Vimada tunaowaacba wanavoteseka Mungu anapotuita...! [emoji45]
 
Hatari sana

Binafsi nimejiwekea malengo sitaendelea kuzalisha nikifika 40 labda itokee bahati mbaya.

Sitaki kupata watoto wa Uzeeni maana watasumbua kwenye malezi maana nikifika 60 ina maana yeye atakuwa na 19 akiwahi shule atakuwa yupo Chuo Kikuu.

Mambo ya kusomesha watoto kwa hela ya Pension sio Poa.

Imagine unapata mtoto ukiwa na miaka 50 yaani una staafu Utumishi mwanao anakuwa Shule ya Msingi tena darasa la 4 ama la 5 what a shame 🫠

Bora kuikata mirija ya mbegu nikifika 40 kuepuka hii aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…