GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Na Botswana ilishawahi kuwa na Rais ambaye hakuwa na mke, na Malawi pia.Wabongo tunalazimishana sana vitu.. mbona Kenya mwamba Daniel Toroitich Arap Moi katawala nchi 23 years akiwa mseja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Botswana ilishawahi kuwa na Rais ambaye hakuwa na mke, na Malawi pia.Wabongo tunalazimishana sana vitu.. mbona Kenya mwamba Daniel Toroitich Arap Moi katawala nchi 23 years akiwa mseja?
Moi waliachana na mkewe kabla hajawa Rais!! Na katika urais wake wote alikua mseja.Moi hakuwa na mke?
Wamakua ndivyo walivyo.
Anayeuza vyupi Mwanae yule...Wale wa kiume nawaonaga sana kunduchi na ununio. Yule anaeuza vyupi mitandaoni ni ndgu na huyu mama.?
Mmakua anapenda ngono mnooo.... na starehe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah usituseme sana wamakua hatuwezi kususia vitu vitamu
Aisee! Kumbe walimtenda vibaya hivyo? Mbona hizo habari hazijulikani kwa wengi? Bora zingewekwa wazi kwa manufaa ya vizazi vijavyo. Kuna la kujifunza katika hayo.Masasi walikuwa wanamwita Mchawi. Kumbuka mama yake na dada zake waliuawa kwa kuvamiwa na wanakijiji kwa tuhuma za uchawi kwamba wanazuia mvua isinyeshe. Poa ya Ben ni kwamba alikuwa boarding shule kwa wakatoliki kule Ndanda. Angekuwa home siyo ile na yeye angeuawa na wanakijiji. SASA KATIKA MAZINGIRA HAYO UNEJENGA KWELI NYUMBANI? Ben amejitahidi angalau kujenga hata kale ka nyumba ka mzee wake pale LUPASO. Mimi nisingejenga hata banda la kuku karibu na watu wasiokuwa wakitupenda.
Mmakua anapenda ngono mnooo.... na starehe.
Kuna baadhi ya Taarifa zako hazipo sawa. Mfano Rita kuachana na Mumewe. Hawakuwahi kuachana ila walikuwa wametengana kwa muda.
Mzee M alinifundisha kitu kimoja, baada ya kumuuliza unajisikiaje na uvumi wa Ben kubanjuana na mama. Akasema, mdogo wangu, ukioa mchagga hayo ni mambo ya kawaida. Uzuri sasa hivi unaliona hiyo Land Cruiser VX ni la mama ila natembelea mimi. Kipi bora kung'ang'ania mke au kufaidi toka kwa mke. Huu ndiyo muongozo wangu siku zote
Kati ya mawaziri wa zamani wenye nyumba nyingi na maeneo ya Hadhi huyu mama yumo aisee...kama mkapa ndio aliwezesha yote hayo basi kongole kwake huyu mama maana alijituma vizuri kuhakikisha uzee wake hapati tabu .
Kwanini hakuacha wosia wa kukataza kuzikwa kwa wachawi?Masasi walikuwa wanamwita Mchawi. Kumbuka mama yake na dada zake waliuawa kwa kuvamiwa na wanakijiji kwa tuhuma za uchawi kwamba wanazuia mvua isinyeshe. Poa ya Ben ni kwamba alikuwa boarding shule kwa wakatoliki kule Ndanda. Angekuwa home siyo ile na yeye angeuawa na wanakijiji. SASA KATIKA MAZINGIRA HAYO UNEJENGA KWELI NYUMBANI? Ben amejitahidi angalau kujenga hata kale ka nyumba ka mzee wake pale LUPASO. Mimi nisingejenga hata banda la kuku karibu na watu wasiokuwa wakitupenda.
...Tunajifunza Kitu. Vimada tunaowaacba wanavoteseka Mungu anapotuita...! [emoji45]Ben amelala
Sidhani kama ni hekima kuanza kujadili haya.
Hatujifunzi lolote hapo maana sisi wanaume tunaongoza kwa infidelity, kwa hiyo mtunzie heshima Hayati wetu
Hatari sanaMimi nina miaka 38 ila majuzi kazaliwa mdogo wangu. Mwanangu wa mwaka 2016 atakuwa anamwita huyu baba mdogo. Imagine baba mdogo kazidiwa miaka 7 na mwanae. Mtoto wa Dada yangu aliyezaliwa mwaka 2002 naye atamwita mjomba. Yaani sisi madingi tunazingua kinyama.
Hahaaa na wala huumii ,unapata raha na cheo juuNitatoa Shoga as long haondoki nayo wala haipigi muhuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado wa kumpa anihonge cheo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha.................hatari sana, hayo mambo hayana Ubabe 😅Mzee Zungu apo , kapiga sana
Sijui alimpa nini Makengeza wetu Mbowe mpaka akachanganyikiwa na Mukya tena mke wa Mtu. Don't trust mtu mwenye makengeza humu duniani.
Unafikiri mafao ya mke/mume wa raisi mstaafu ni madogo?Ila uzeeni wakaishi wote wakaleana, hadi BM anafariki wanaishi pamoja.
Wanaonekana wanakaa pamoja. Ila hawaishi pamoja.Ila uzeeni wakaishi wote wakaleana, hadi BM anafariki wanaishi pamoja.
Na wanajua kupenda hao sijawahi kuona..Mmakua anapenda ngono mnooo.... na starehe.