Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Masasi walikuwa wanamwita Mchawi. Kumbuka mama yake na dada zake waliuawa kwa kuvamiwa na wanakijiji kwa tuhuma za uchawi kwamba wanazuia mvua isinyeshe. Poa ya Ben ni kwamba alikuwa boarding shule kwa wakatoliki kule Ndanda. Angekuwa home siyo ile na yeye angeuawa na wanakijiji. SASA KATIKA MAZINGIRA HAYO UNEJENGA KWELI NYUMBANI? Ben amejitahidi angalau kujenga hata kale ka nyumba ka mzee wake pale LUPASO. Mimi nisingejenga hata banda la kuku karibu na watu wasiokuwa wakitupenda.
Aisee! Kumbe walimtenda vibaya hivyo? Mbona hizo habari hazijulikani kwa wengi? Bora zingewekwa wazi kwa manufaa ya vizazi vijavyo. Kuna la kujifunza katika hayo.
 
Kuna baadhi ya Taarifa zako hazipo sawa. Mfano Rita kuachana na Mumewe. Hawakuwahi kuachana ila walikuwa wametengana kwa muda.

Mzee M alinifundisha kitu kimoja, baada ya kumuuliza unajisikiaje na uvumi wa Ben kubanjuana na mama. Akasema, mdogo wangu, ukioa mchagga hayo ni mambo ya kawaida. Uzuri sasa hivi unaliona hiyo Land Cruiser VX ni la mama ila natembelea mimi. Kipi bora kung'ang'ania mke au kufaidi toka kwa mke. Huu ndiyo muongozo wangu siku zote

Dah usimuaibishe mzee wa watu bana
 
Kati ya mawaziri wa zamani wenye nyumba nyingi na maeneo ya Hadhi huyu mama yumo aisee...kama mkapa ndio aliwezesha yote hayo basi kongole kwake huyu mama maana alijituma vizuri kuhakikisha uzee wake hapati tabu .

Mama muda wote kajitandaza magold
Hadi leo anaishi vizuri pesa sio tatizo
 
Masasi walikuwa wanamwita Mchawi. Kumbuka mama yake na dada zake waliuawa kwa kuvamiwa na wanakijiji kwa tuhuma za uchawi kwamba wanazuia mvua isinyeshe. Poa ya Ben ni kwamba alikuwa boarding shule kwa wakatoliki kule Ndanda. Angekuwa home siyo ile na yeye angeuawa na wanakijiji. SASA KATIKA MAZINGIRA HAYO UNEJENGA KWELI NYUMBANI? Ben amejitahidi angalau kujenga hata kale ka nyumba ka mzee wake pale LUPASO. Mimi nisingejenga hata banda la kuku karibu na watu wasiokuwa wakitupenda.
Kwanini hakuacha wosia wa kukataza kuzikwa kwa wachawi?
Kwanini alirudi kuomba kura kwa wachawi.
 
Ben amelala
Sidhani kama ni hekima kuanza kujadili haya.

Hatujifunzi lolote hapo maana sisi wanaume tunaongoza kwa infidelity, kwa hiyo mtunzie heshima Hayati wetu
...Tunajifunza Kitu. Vimada tunaowaacba wanavoteseka Mungu anapotuita...! [emoji45]
 
Mimi nina miaka 38 ila majuzi kazaliwa mdogo wangu. Mwanangu wa mwaka 2016 atakuwa anamwita huyu baba mdogo. Imagine baba mdogo kazidiwa miaka 7 na mwanae. Mtoto wa Dada yangu aliyezaliwa mwaka 2002 naye atamwita mjomba. Yaani sisi madingi tunazingua kinyama.
Hatari sana

Binafsi nimejiwekea malengo sitaendelea kuzalisha nikifika 40 labda itokee bahati mbaya.

Sitaki kupata watoto wa Uzeeni maana watasumbua kwenye malezi maana nikifika 60 ina maana yeye atakuwa na 19 akiwahi shule atakuwa yupo Chuo Kikuu.

Mambo ya kusomesha watoto kwa hela ya Pension sio Poa.

Imagine unapata mtoto ukiwa na miaka 50 yaani una staafu Utumishi mwanao anakuwa Shule ya Msingi tena darasa la 4 ama la 5 what a shame 🫠

Bora kuikata mirija ya mbegu nikifika 40 kuepuka hii aibu
 
Back
Top Bottom