Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Ila mkapa nae alikuwa na kila sababu ya kuchepuka duh hahajhahaahah
Noma sna
 
Mzee nae viazi San kwa hyo Ana ona ufahari kuwalea watot wa mkapa ila hi dunia ina maajabu

Mm naoan Sina ajabunlolote nililofanya
 
Pascal Mayalla paza sauti usikike na mod, huu uzi kamwe haufai, unachafua hizi familia mbili bila sababu ya msingi.
Nimeripoti naona kimya.

Rita ana mume, ana watoto, ana ndg na marafiki huko aliko hao wote wanajisikia je?
Na ndio akome kudanga na watoto wajue kuwa mama Yao alikuwa Malaya tu Hadi kutembe na viongozi wa juu ki ukweli washike adabu walidhani hayatakuja kuwa hadharani itabaki sirini SAS ndio hvyo tuko digital , mama yule nilikuwa namuheshimu kumbe alikuwa danga la mtu mzito alikuwa akiongea namuona bonge la mam mweny akili kumbe alikimbia mume ili apate pesa shenzi typu

Mm marehemu mzee wangu alikuwa Malaya sna sna Hadi kuiba na kutembea na wake za watu ila hata hvyo sijali mm mnk alikuwa anatumia pesa zake na cheo chake kuiba wake za watu
 
Ukilewa usiingie jf, unachangia utumbo sana.
Una uhakika mama yako hakuwa mdangaji?
Mama yako akianikwa hapa utafurahia?
 
Kati ya mawaziri wa zamani wenye nyumba nyingi na maeneo ya Hadhi huyu mama yumo aisee...kama mkapa ndio aliwezesha yote hayo basi kongole kwake huyu mama maana alijituma vizuri kuhakikisha uzee wake hapati tabu .
Hakuna Cha tabu Ni Sera za huyu marehemu za kuuza nyumba za serkali ndiko iliko pita hzo nyumba alizo nazo hyu mama rita
 
😂🤣 Kwahiyo umerithi uma.laya wa mzee wako?
Pole wenzio wanarithi majumba na viwanda
 
Hakuna Cha tabu Ni Sera za huyu marehemu za kuuza nyumba za serkali ndiko iliko pita hzo nyumba alizo nazo hyu mama rita
Eeh mzee aliuza Mali nyingi za serikali
Pale Moshi mjini,mamlaka ya maji ya Moshi mjini,waligaiana nyumba za mamlaka kama mapera😂🤣
Kwa bei Chee nenda pale jirani na kiwanda Cha kahawa coffee curing walichokifilisi watendaji,wamejaa tele pale ,wanakula juice baridi,Heineken wanagonga cheers na mbuzi katoliki pembeni🤣😂
 
Nakumbuka ulisoma Moshi, sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…