dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Ila mkapa nae alikuwa na kila sababu ya kuchepuka duh hahajhahaahah[emoji1787][emoji23]aliambulia mafao yake toka kwa Ben kabla hajafa
Anna hajampa hata thumni
Kwanza anaanzaje kumface Anna?
Ana ni mkali aiseeh alikujaga ofisini enzi hizo Niko junior, boss akanambia kalete jalada lake, sasa si mke wa Rais mstaafu, kwahiyo wakijaga maofisini hao, afisa unageuzwa secretary na masjala ghafla. Sasa nimefika masjala, dada wa masjala ananizingua, nikasubiri kama dk 10, ndo napeleka jalada, alooh aliniwashia Moto, kidogo Nilie, boss akampoza, akamwambia ndo anaanza kazi, katoka chuo juzi msamehe tu[emoji1787]
Noma sna