Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,923
hapo chacha..mie sifeel kitu kabisaaa😆Yaani imagine una Hela ya kusolve matatizo Yako Sasa mwanamme wa pembeni wa kazi gani?anakuja na maajabu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo chacha..mie sifeel kitu kabisaaa😆Yaani imagine una Hela ya kusolve matatizo Yako Sasa mwanamme wa pembeni wa kazi gani?anakuja na maajabu gani?
Hahaha...............hasa ukikutana na Mwanamke mnyumbulifu kwa bed 🤗Vya sirini vina utamu wake aseeee
Wote hudanga ila kuna wanaoleta kwa mume na wanaopeleka kwa ndugu zao. Yupi bora?duh...so yuko radhi mke adange alete home..kumbe marioo wako toka enzi na hamsemi
Hiyo ni kada yake, alikuwa katibu muhtasi enzi zake.Weeh hana upole wowote
Alisema huyu binti ni afisa kweli?anatafuta file dk 10?
Wakati mtafuta faili siyo Mimi[emoji23][emoji1787]
Nilitetemeka nikajua ndo naenda kutemeshwa bungo[emoji1787]si wajua kitete Cha kuanza kazi [emoji1787][emoji23]
Nashukuru sana mkuu kwa kunisahihisha🙏🙏🙏Malawi.
Rita mlaki au mna macode yenu wazee wa sisistime?Nakumbuka kuna siku Ben alipata ajali, alikuwa anatoka kwa Rita, akaanguka kwenye mtaro na Benz lake. Akampigia Askari wake wa amani ndio akaenda kumtoa, alikuwa mwenyewe akijiendesha. Alipata ajali Mikocheni karibu na daraja la JKT pale Mlalakuwa akitokea kwa Rita. Wakati huo akiwa bado ni Jemedari
Sema Rita naye alikuwa na mambo mengi, kaachana na mumewe kisa Ben na wakawa wanatoana ngeu na Kiana.
Baadaye Rita akaona isiwe tabu, akajitafuta Mwarabu wake wa kududuana.
Sema Ujana maji ya moto, sasa Rita karudiana na mumewe wanakula mafao yao.
Walishasameheana maisha yanaendelea. Majemedari wetu wanapenda dogodogo!
Ben na Rita walidumu kipindi kirefu. Je, baada ya kifo cha Ben, Rita hajapewa chochote kama kifuta jasho kwa kumtunza?
Ila jamani Rita alikuwa Pisi kali, acha hapa kazeeka.
Ila Rita naye, alipokuwa MSEMAJI wa watu wa Kawe, akampata THE GREAT. Ukaibuka ugomvi mpya kati ya Rita na Chimama
Wanawake mkiwa na pesa,mnapenda sana kusagana wenyewe kwa wenyewe!!kabisa..mwanamke ukiwa na hela hamu hamu sa kijinga zinajifia..uwe huna sasa[emoji38]
wao...sijawah isikia hi8Wanawake mkiwa na pesa,mnapenda sana kusagana wenyewe kwa wenyewe!!
wote majangaWote hudanga ila kuna wanaoleta kwa mume na wanaopeleka kwa ndugu zao. Yupi bora?
Samahani sana, nilichanganyikiwa, nilifikiri hawa wakosa adabu wameanza ujinga wao.😂🤣😂🤣Unanikana?
Sasa foxy si anatamani kumla butterfly Ila hampati manake muda wote anafly
Muda muafaka ukifika Nyumba zote zitarudi tena serekalini wala msijali,kumbukumbu zote ziko Masijala!!Anayeuza vyupi Mwanae yule...
Tena yule ndiyo ana nyumba nyingi nadhani kuliko hata wenzake..
Asante MheshimiwaWatoto wa 1990's hawamjui Rita Mlaki !
Rita mama wa Kichaga na Mbunge mkorofi.
Kada wa CCM na Tajiri fulani wa Dar es salaam.
Mamaa mwenye majumba/appartments na biashara Nyingi.
Alizaa na aliyetajwa na pia ni mtu mtulivu ukiongea naye.
Hajapewa kitu kwenye miradhi ya MAMA Ben kwakuwa ile hakuwa na ndoa bali ni concubine na INDIAN SUCCESSION ACT , 1865, haitambui masuria[vimada] kama warithi. Unaweza ukarejea kesi ya VIKI KAMATA In the matter of the Estate of the Late Dr. Servacius Beda Likwelile And in the Matter of Application for the Letters of Administration without Will by Raymond Babu Likwelile And In the Matter of Caveat by Vicky Paschal Kamata (Probate And Administration Cause No. 50 of 2021) [2023] TZHC 21069 (15 September 2023).
kesi ya MKE WA LYATONGA MREMA In the matter of the Estate of the Late Augustino Lyatonga Mrema And In the Matter of Application for Letters of Administration without Will by Peter Augustino Mrema And In the Matter of Caveat by Doris Agness Augustin Mkandala (Probate And Administration Cause No. 263 of 2022) [2023] TZHC 21960 (20 October 2023)
Soma kesi ya JAQ MENGI , amepewa nini?
# Wanawake wote mnaoishi kimapenzi na waume za watu, mmepangiwa nyumba Sinza, Goba, Mikocheni na Kawe, mnatesa na magari mazuri huku mke wa ndoa akijibana kwenye bajaji ya kuchangia muache mara moja, mtalia siku mume akifa: Wewe ni kimada hata taulo mlilokuwa mnajifutia baada ya sherehe ya usiku hutapewa.
Wifi mwambie kaka ako akuweke hata kwa makondakta tumsaidie kueneza injili 😂😂😂Kumbe haya mambo ya kuhonga vyeo yalianza kitambo🤣
Kaka Yuko serious sana, hawezi kubali dada ake niliwe kimasihara....ngoja nitapambana mwenyewe....Lumumba sio mbali.Wifi mwambie kaka ako akuweke hata kwa makondakta tumsaidie kueneza injili 😂😂😂
😂😂😂 wifi yangu hana mbambamba dk kashapewa namba na mzee wa anwani za makazi au yule mvaa scarf ya NchiUlivyo mapepe sana kama kama nakuona kwenye corridor za Lumumba na hicho kijora,dakika 30 nyingi ushakula kichwa,tena usindikizwe na wifi Yako Lamomy yeye avae kijora Cha njano
Nchi ngumu Sana Hii[emoji4]Kumbe haya mambo ya kuhonga vyeo yalianza kitambo[emoji1787]
Ata ningekua Mimi aisee[emoji29]Nafikiri Anna ndie alie anza kumzingua BM hata ikapelekea wakatengana na akaenda kuishi na mwanaume mwingine na wakazaa.
Sasa wakati BM anapigiwa mchepuo wa kuingia Ikulu, ndipo Mchonga aliamua kwasuluhisha kwa kumwambia BM kwamba Ikulu ni patakatifu na haiwezekani tukawa na president mseja.
Baada ya hapo kwa shinikizo la Mchonga BM na Anna wakarudiana, lakini kiukweli BM hakuwa na upendo tena na Anna.