Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Ben alikua master sana....
Mwishoni alikua anakaa upanga
Mama anakaa masaki....!

Yule mu old Moshi ni mwisho wa matatizo....

Alichonifurahisha mzee alikua anapiga remmy Martin....
Anapiga piga weeee then baadae anaita houseboy....

Unaskia kalete kinywaji changu haraka...jamaa anaenda chaap....style ya mitaa ya chang'ombe...!
 
Weeh hana upole wowote
Alisema huyu binti ni afisa kweli?anatafuta file dk 10?
Wakati mtafuta faili siyo Mimi[emoji23][emoji1787]
Nilitetemeka nikajua ndo naenda kutemeshwa bungo[emoji1787]si wajua kitete Cha kuanza kazi [emoji1787][emoji23]
Hiyo ni kada yake, alikuwa katibu muhtasi enzi zake.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka kuna siku Ben alipata ajali, alikuwa anatoka kwa Rita, akaanguka kwenye mtaro na Benz lake. Akampigia Askari wake wa amani ndio akaenda kumtoa, alikuwa mwenyewe akijiendesha. Alipata ajali Mikocheni karibu na daraja la JKT pale Mlalakuwa akitokea kwa Rita. Wakati huo akiwa bado ni Jemedari

Sema Rita naye alikuwa na mambo mengi, kaachana na mumewe kisa Ben na wakawa wanatoana ngeu na Kiana.

Baadaye Rita akaona isiwe tabu, akajitafuta Mwarabu wake wa kududuana.

Sema Ujana maji ya moto, sasa Rita karudiana na mumewe wanakula mafao yao.

Walishasameheana maisha yanaendelea. Majemedari wetu wanapenda dogodogo!

Ben na Rita walidumu kipindi kirefu. Je, baada ya kifo cha Ben, Rita hajapewa chochote kama kifuta jasho kwa kumtunza?

Ila jamani Rita alikuwa Pisi kali, acha hapa kazeeka.

Ila Rita naye, alipokuwa MSEMAJI wa watu wa Kawe, akampata THE GREAT. Ukaibuka ugomvi mpya kati ya Rita na Chimama
Rita mlaki au mna macode yenu wazee wa sisistime?
 
Watoto wa 1990's hawamjui Rita Mlaki !
Rita mama wa Kichaga na Mbunge mkorofi.
Kada wa CCM na Tajiri fulani wa Dar es salaam.
Mamaa mwenye majumba/appartments na biashara Nyingi.
Alizaa na aliyetajwa na pia ni mtu mtulivu ukiongea naye.
Hajapewa kitu kwenye miradhi ya MAMA Ben kwakuwa ile hakuwa na ndoa bali ni concubine na INDIAN SUCCESSION ACT , 1865, haitambui masuria[vimada] kama warithi. Unaweza ukarejea kesi ya VIKI KAMATA In the matter of the Estate of the Late Dr. Servacius Beda Likwelile And in the Matter of Application for the Letters of Administration without Will by Raymond Babu Likwelile And In the Matter of Caveat by Vicky Paschal Kamata (Probate And Administration Cause No. 50 of 2021) [2023] TZHC 21069 (15 September 2023).

kesi ya MKE WA LYATONGA MREMA In the matter of the Estate of the Late Augustino Lyatonga Mrema And In the Matter of Application for Letters of Administration without Will by Peter Augustino Mrema And In the Matter of Caveat by Doris Agness Augustin Mkandala (Probate And Administration Cause No. 263 of 2022) [2023] TZHC 21960 (20 October 2023)

Soma kesi ya JAQ MENGI , amepewa nini?

# Wanawake wote mnaoishi kimapenzi na waume za watu, mmepangiwa nyumba Sinza, Goba, Mikocheni na Kawe, mnatesa na magari mazuri huku mke wa ndoa akijibana kwenye bajaji ya kuchangia muache mara moja, mtalia siku mume akifa: Wewe ni kimada hata taulo mlilokuwa mnajifutia baada ya sherehe ya usiku hutapewa.
Asante Mheshimiwa
 
Ulivyo mapepe sana kama kama nakuona kwenye corridor za Lumumba na hicho kijora,dakika 30 nyingi ushakula kichwa,tena usindikizwe na wifi Yako Lamomy yeye avae kijora Cha njano
😂😂😂 wifi yangu hana mbambamba dk kashapewa namba na mzee wa anwani za makazi au yule mvaa scarf ya Nchi
Wifi mama k fanya kweli bas me naandaa nguo za rangi ya chama 🤣🤣🤣
 
Nafikiri Anna ndie alie anza kumzingua BM hata ikapelekea wakatengana na akaenda kuishi na mwanaume mwingine na wakazaa.

Sasa wakati BM anapigiwa mchepuo wa kuingia Ikulu, ndipo Mchonga aliamua kwasuluhisha kwa kumwambia BM kwamba Ikulu ni patakatifu na haiwezekani tukawa na president mseja.

Baada ya hapo kwa shinikizo la Mchonga BM na Anna wakarudiana, lakini kiukweli BM hakuwa na upendo tena na Anna.
Ata ningekua Mimi aisee[emoji29]
 
Back
Top Bottom