Hivi Ronaldo si alisema anastaafu kuchezea team ya Taifa? Mbona leo anakipiga?

Hivi Ronaldo si alisema anastaafu kuchezea team ya Taifa? Mbona leo anakipiga?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Kombe la Dunia lilivoisha mwamba si alitangaza anastaafu kuchezea team ya Taifa Portugal?


Cristiano Ronaldo kustaafu soka la kimataifa baada ya kombe la Dunia 2026

270.png

Mbona leo Tena uwanjani Portugal vs Wales?
 
Cristiano Ronaldo: “I feel a lot of love from the Portuguese people”.

“And it’s not because of half a dozen people who don’t like me that I’m going to stop feeling the love of the Portuguese people. I feel their love very strongly”.
 
Kombe la Dunia lilivoisha mwamba si alitangaza anastaafu kuchezea team ya Taifa Portugal?


Cristiano Ronaldo kustaafu soka la kimataifa baada ya kombe la Dunia 2026

View attachment 3677280
Mbona leo Tena uwanjani Portugal vs Wales?
Cristiano Ronaldo anatarajia kustaafu soka rasmi mwishoni mwa msimu wa soka wa 2026/2027 au ndani ya miaka miwili ijayo. Supastaa huyo mwenye umri wa miaka 41ameweka wazi kuwa huenda msimu huu (2026/27) ukawa wa mwisho kwake kama mchezaji wa kulipwa, na anapanga kumalizia soka lake la ngazi ya klabu katika timu yake ya sasa ya Al-Nassr nchini Saudi Arabia pindi mkataba wake utakapomalizika mwezi Juni 2027.
 
Back
Top Bottom