Hivi Ronaldo si alisema anastaafu kuchezea team ya Taifa? Mbona leo anakipiga?

Akifikisha buku ataacha.. hapa amerudi national team sababu anajua kuna kina faroe uko atapiga hat-trick kadhaa..
Ronaldo anapenda mashindano na records, hii anaitaka sana
bila kusahu san marino
 
Amekuwa sio kivutio Tena kumtizama amejishushia heshima yake aliyoitengeneza Kwa muda mrefu, naangaliaga mechi za ligi Kule Saudia Ronaldo Yuko uwanjan ila uwanja uko robo watu hawavutiwi naye Tena ni aibu kwakweli
 
Kuna interview moja niliona anataka kufikisha goli buku tena za ukweli na mbwembwe kibao, lile lilikuwa dongo kwa mfalme pele
 
Enyi wareno sisi tumeweza kumstaafisha samata kwa maneno Sasa tunawaomba wareno mfate mfano wetu
 
Amekuwa sio kivutio Tena kumtizama amejishushia heshima yake aliyoitengeneza Kwa muda mrefu, naangaliaga mechi za ligi Kule Saudia Ronaldo Yuko uwanjan ila uwanja uko robo watu hawavutiwi naye Tena ni aibu kwakweli
Ni kawaida kwa mechi za saudia mechi kuwa tupu Wala hazihusiani na Ronaldo
Yeye ni kivutio kwa soka la saudia kwa ujumla ndio maana wameendelea kumpa mkataba kabla ya kuja Ronaldo hakuna media zilikuwa interested na soka la saudia Wala wachezaji wakubwa na makocha ila Sasa hali ni tofauti
 
Amesema siku watu wa Portugal wakisema hawahitaji huduma yake atapumzika.
 
Ni kawaida kwa mechi za saudia mechi kuwa tupu Wala hazihusiani na Ronaldo
Yeye ni kivutio kwa soka la saudia kwa ujumla ndio maana wameendelea kumpa mkataba kabla ya kuja Ronaldo hakuna media zilikuwa interested na soka la saudia Wala wachezaji wakubwa na makocha ila Sasa hali ni tofauti
Mbaya zaidi wanamzomea uwanjani kutokana na vituko anavyovifanya uwanjani
 
Kuna interview moja niliona anataka kufikisha goli buku tena za ukweli na mbwembwe kibao, lile lilikuwa dongo kwa mfalme pele
Kwa Hali aliyonayo sasa kiwanjan hana ubavu wa kufikisha hizo goli buku hata akija ligi ya Tanzania
 
Mbaya zaidi wanamzomea uwanjani kutokana na vituko anavyovifanya uwanjani
Ni kawaida wachezaji wamepitia hali zote kuzomewa kushangiliwa n.k binafsi nilimuona Ronaldo akiwafunga Spain ,akiganda hewani kuwafunga Juve heshima yake itabaki palepale
 
Kila kitu kina muda wake Ronaldo na Messi muda wao umeisha tuko na akina Lamine,Olise,Pedri nk apumzike tu Kwa heshima kama alivyofanya Messi, wewe mchezaji Gani wenzako timu ya taifa mpaka wanakutenga uwanjani unatia aibu Bado unan'gan'gana tu!!
 
Back
Top Bottom