Kwa akili yako ya kuvukia barabara,unadhani uzinduzi wa jezi utafanywa na tour guides? Au viongozi wa timu?Kuna popote waliposema wanapanda wao? Mbona akili zinakuwa finyu sana. Ama mnatumia makalio kufikiri?
Tuseme ni wao, utimamu wao wa kimwili unaujua? Ratiba zao za mazoezi je? Unashindaga na Salim?
Okay, wapo watu kibao wanatoka Dar na wanakwea mpaka kileleni bila changamoto.
Kuwa Moshi ni kitu kimoja kwenda kupanda mlima ni kitu kingine.Niko Hapa Moshi Mbona Wanapanda Tu
Tatizo Ni Nongwa
Pengine wamejiandaa kwa muda mrefu.Ninawasi wasi na huu ubunifu wa Simba kama kweli utaleta maana wakati baadhi ya watu muhimu watakaposhindwa kukwea hadi kileleni mwa mlima.
Sitaki kuwatisha lakini sio kazi rahisi kutoka Dar na eti ghafla unaamua kwenda kupanda mlima.Yanahitajika maandalizi.
Kama mlikuwa na maandalizi ni vema,lakini kama mihemko tu ya kutaka kushindana na yanga iliyojaa utoto na ujinga mwingi, mnaweza kuishia kuaibika tu kwa baadhi ya viongozi kutoweza kufika kileleni.
Halafu huu msimu ndio rahisi sasa kutoboa.Itapandishwa na wazoefu wa kupanda Kilimanjaro haswa kwa msimu huu ambao baridi ni kali sana...
Halafu huu msimu ndio rahisi sasa kutoboa.
Nakubaliana na Wewe kwa Kili hasa Marangu route ambayo najua watapitia, msimu huu ni njia rafiki.Wewe ni mzoefu mkuu na si ajabu umepanda njia zote...
Mtu wa Dar ambaye ni mara yake ya kwanza, husumbuliwa na baridi kali...
Kwahiyo hawa ndo waje watoboe Zile zigzag za Kibo Camp?... Jamaica kisha Gilmans, Stella then Uhuru?Nakubaliana na Wewe kwa Kili hasa Marangu route ambayo najua watapitia, msimu huu ni njia rafiki.
No rain means hakutakuwa na utelezi.
Low Temperature ina moderate Pressure.
Hii njia ya Marangu huwa ina changamoto sana Kwenye swala zima la mgandamizo wa hewa.(Atmospheric pressure).
Na low Temperature inafanya pressure kuwa juu.
Pressure ikiwa chini sana kwasababu ya altitude kubwa, kukatiza saddle tu huwa ni kazi kwelikweli.
Mkuu ukitaka kuienjoy Kili panda msimu wa baridi. Changamoto ya low pressure itakuwa ndogo kwako.
Vilevile utafurahia sana uwepo wa glacier yakutosha kuanzia Gilmans(Marangu&Rongai Route)
Na kuanzia Stella (Route zilizobakia.)
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Huu ushindani unafanya hata tulikuwa sio mashabiki WA Mpira tuanze kuwa attached.. Ni jambo la kheri SanaNinawasi wasi na huu ubunifu wa Simba kama kweli utaleta maana wakati baadhi ya watu muhimu watakaposhindwa kukwea hadi kileleni mwa mlima.
Sitaki kuwatisha lakini sio kazi rahisi kutoka Dar na eti ghafla unaamua kwenda kupanda mlima.Yanahitajika maandalizi.
Kama mlikuwa na maandalizi ni vema,lakini kama mihemko tu ya kutaka kushindana na yanga iliyojaa utoto na ujinga mwingi, mnaweza kuishia kuaibika tu kwa baadhi ya viongozi kutoweza kufika kileleni.
Ndio nashangaa kwani lazima apande try again au chief mangugo?Watapanda watu jasiri na wenye uwezo, sioni shida ilipo. Simba imejipambanua kutaka kufika kilele cha mafanikio ya soka, kitendo la kupandisha jezi mpya na kuizindua na kusimika bendera ya Simba pale juu likifanikiwa litaenda "viral" sana na kama kitafanikiwa kuna kitu kitapandikizwa kwa wachezaji na mashabiki wa Simba.
Ni uamuzi bora na wa kijasiri ila tusubiri tuone utekelezaji wake utakavyokuwa. Inawezekana uamuzi sahihi ulikuwa wangefanya kwanza na kutushangaza kwenye promo zitakazoruka hiyo Ijumaa ila kutangaza mapema pia inaleta shauku pia na wengine wameshaanza kuwa na kihoro watakachoishi nacho wiki nzima.
Hata Nyerere alipoamua kupeleka bendera kileleni hakumtuma katibu kata au waziri bali mwanajeshi.