Hivi safari ya kilele cha Mlima Kilimanjaro, hawa akina Mangungu, Surndaland na Try Again wanaijua? Ama wanafikiri hapo ni kama kupanda ghorofa?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Ninawasi wasi na huu ubunifu wa Simba kama kweli utaleta maana wakati baadhi ya watu muhimu watakaposhindwa kukwea hadi kileleni mwa mlima.

Sitaki kuwatisha lakini sio kazi rahisi kutoka Dar na eti ghafla unaamua kwenda kupanda mlima.Yanahitajika maandalizi.

Kama mlikuwa na maandalizi ni vema,lakini kama mihemko tu ya kutaka kushindana na yanga iliyojaa utoto na ujinga mwingi, mnaweza kuishia kuaibika tu kwa baadhi ya viongozi kutoweza kufika kileleni.
 
Kuna popote waliposema wanapanda wao? Mbona akili zinakuwa finyu sana. Ama mnatumia makalio kufikiri?

Tuseme ni wao, utimamu wao wa kimwili unaujua? Ratiba zao za mazoezi je? Unashindaga na Salim?

Okay, wapo watu kibao wanatoka Dar na wanakwea mpaka kileleni bila changamoto.
 
Mkuuu ukisikia kileleni wacha kabisa wenye experience ya mlima wanajua, uko pale base camps kuona mtu anashushwa na oxygen ni kitu chakawaida sana, hali ya mtu yaweza badilika saa yeyote
 
Kuna popote waliposema wanapanda wao? Mbona akili zinakuwa finyu sana. Ama mnatumia makalio kufikiri?

Tuseme ni wao, utimamu wao wa kimwili unaujua? Ratiba zao za mazoezi je? Unashindaga na Salim?

Okay, wapo watu kibao wanatoka Dar na wanakwea mpaka kileleni bila changamoto.
Kwa akili yako ya kuvukia barabara,unadhani uzinduzi wa jezi utafanywa na tour guides? Au viongozi wa timu?
 
Ninawasi wasi na huu ubunifu wa Simba kama kweli utaleta maana wakati baadhi ya watu muhimu watakaposhindwa kukwea hadi kileleni mwa mlima.

Sitaki kuwatisha lakini sio kazi rahisi kutoka Dar na eti ghafla unaamua kwenda kupanda mlima.Yanahitajika maandalizi.

Kama mlikuwa na maandalizi ni vema,lakini kama mihemko tu ya kutaka kushindana na yanga iliyojaa utoto na ujinga mwingi, mnaweza kuishia kuaibika tu kwa baadhi ya viongozi kutoweza kufika kileleni.
Pengine wamejiandaa kwa muda mrefu.

BTW I love Kilimanjaro Mountain.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Watapanda watu jasiri na wenye uwezo, sioni shida ilipo. Simba imejipambanua kutaka kufika kilele cha mafanikio ya soka, kitendo la kupandisha jezi mpya na kuizindua na kusimika bendera ya Simba pale juu likifanikiwa litaenda "viral" sana na kama kitafanikiwa kuna kitu kitapandikizwa kwa wachezaji na mashabiki wa Simba.

Ni uamuzi bora na wa kijasiri ila tusubiri tuone utekelezaji wake utakavyokuwa. Inawezekana uamuzi sahihi ulikuwa wangefanya kwanza na kutushangaza kwenye promo zitakazoruka hiyo Ijumaa ila kutangaza mapema pia inaleta shauku pia na wengine wameshaanza kuwa na kihoro watakachoishi nacho wiki nzima.

Hata Nyerere alipoamua kupeleka bendera kileleni hakumtuma katibu kata au waziri bali mwanajeshi.
 
Wewe ni mzoefu mkuu na si ajabu umepanda njia zote...

Mtu wa Dar ambaye ni mara yake ya kwanza, husumbuliwa na baridi kali...
Nakubaliana na Wewe kwa Kili hasa Marangu route ambayo najua watapitia, msimu huu ni njia rafiki.
No rain means hakutakuwa na utelezi.
Low Temperature ina moderate Pressure.

Hii njia ya Marangu huwa ina changamoto sana Kwenye swala zima la mgandamizo wa hewa.(Atmospheric pressure).

Na low Temperature inafanya pressure kuwa juu.

Pressure ikiwa chini sana kwasababu ya altitude kubwa, kukatiza saddle tu huwa ni kazi kwelikweli.

Mkuu ukitaka kuienjoy Kili panda msimu wa baridi. Changamoto ya low pressure itakuwa ndogo kwako.

Vilevile utafurahia sana uwepo wa glacier yakutosha kuanzia Gilmans(Marangu&Rongai Route)
Na kuanzia Stella (Route zilizobakia.)

Kwahiyo hawa ndo waje watoboe Zile zigzag za Kibo Camp?... Jamaica kisha Gilmans, Stella then Uhuru?

Mmq nimekaa paleee
 
Labda kwa sababu wameamua kwenda Summit mchana ili saa 1 wawe pale Uhuru [emoji23][emoji23]
 
Ninawasi wasi na huu ubunifu wa Simba kama kweli utaleta maana wakati baadhi ya watu muhimu watakaposhindwa kukwea hadi kileleni mwa mlima.

Sitaki kuwatisha lakini sio kazi rahisi kutoka Dar na eti ghafla unaamua kwenda kupanda mlima.Yanahitajika maandalizi.

Kama mlikuwa na maandalizi ni vema,lakini kama mihemko tu ya kutaka kushindana na yanga iliyojaa utoto na ujinga mwingi, mnaweza kuishia kuaibika tu kwa baadhi ya viongozi kutoweza kufika kileleni.
Huu ushindani unafanya hata tulikuwa sio mashabiki WA Mpira tuanze kuwa attached.. Ni jambo la kheri Sana
 
Watapanda watu jasiri na wenye uwezo, sioni shida ilipo. Simba imejipambanua kutaka kufika kilele cha mafanikio ya soka, kitendo la kupandisha jezi mpya na kuizindua na kusimika bendera ya Simba pale juu likifanikiwa litaenda "viral" sana na kama kitafanikiwa kuna kitu kitapandikizwa kwa wachezaji na mashabiki wa Simba.

Ni uamuzi bora na wa kijasiri ila tusubiri tuone utekelezaji wake utakavyokuwa. Inawezekana uamuzi sahihi ulikuwa wangefanya kwanza na kutushangaza kwenye promo zitakazoruka hiyo Ijumaa ila kutangaza mapema pia inaleta shauku pia na wengine wameshaanza kuwa na kihoro watakachoishi nacho wiki nzima.

Hata Nyerere alipoamua kupeleka bendera kileleni hakumtuma katibu kata au waziri bali mwanajeshi.
Ndio nashangaa kwani lazima apande try again au chief mangugo?
 
Back
Top Bottom