Ninawasi wasi na huu ubunifu wa Simba kama kweli utaleta maana wakati baadhi ya watu muhimu watakaposhindwa kukwea hadi kileleni mwa mlima.
Sitaki kuwatisha lakini sio kazi rahisi kutoka Dar na eti ghafla unaamua kwenda kupanda mlima.Yanahitajika maandalizi.
Kama mlikuwa na maandalizi ni vema,lakini kama mihemko tu ya kutaka kushindana na yanga iliyojaa utoto na ujinga mwingi, mnaweza kuishia kuaibika tu kwa baadhi ya viongozi kutoweza kufika kileleni.