Pre GE2025 Samia: Sherehe nyingine za Kitaifa za Wanawake Zitafanyika 2030 wakati naachia ngazi, nitawaaga katika sherehe hizo!

Pre GE2025 Samia: Sherehe nyingine za Kitaifa za Wanawake Zitafanyika 2030 wakati naachia ngazi, nitawaaga katika sherehe hizo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Mkoani Arusha, tarehe 08 Machi, 2025 amesema sherehe hizo zitakuwa zinafanyika Kimikoa lakini zitafanyika kitaifa kila baada ya Miaka mitano.

Hivyo, sherehe nyingine za aina hiyo zitafanyika Mwaka 2030 atakapokuwa anaachia madaraka ya Urais na kukabidhi kijiti kwa mwingine.

Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia azindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025





My Take
Chadema tafuteni kazi ya kufanya, uchaguzi umekwisha tunasubiria Uapisho tuu hiyo Oktoba.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Swali la kujiuliza ana hakika gani kama atakuwa Rais!!?? Ina maana ana maamuzi ya wapiga kura?!!! Ina maana uchaguzi utakaofanyika ni Maigizoo??!! Nawaheshimu sana Mpango na Kinana... Wana akili kubwa sanaa....
Kuwa loosers na kupoteza pambano ndio akili kubwa?

Mwisho wewe uliwahi msikia mgombea au Timu inaingia uwanjani inasema inaenda kufungwa au kupoteza pambano?
 
Back
Top Bottom