Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena time is moving very faster !Ana uhakika wa kufanya Kimagufuli gufuli. 2024 kupitia Mkwe Mwenye Kifua Kipana walikuwa wanafanya majaribio yao. Kwa bile walifanikiwa kwa 100 % hiyo imempa confidence namna ya kufanikidha nwaka huu.
Lisdu ba No Reforms Jo Elections nafikiri ni time sasa Watuonyeshe ni jinsi gani itafanikiwa. Time is moving fast.
Mpinzania anapojimwambafai kuwa anashinda ila police wanakwapua kura huwa anakua amejihakikishia na nini? Juzi Tundu kabla hajashinda alishasema lazima atashinda kwa sababu ana hakika na team yake,alikua ameshaona kuwa ameshinda?Nimemsikia afande samia huko Arusha akijimwambafai mbele ya wanawake wenzie kuwa yupo madarakani mpaka 2030.
Swali langu ni kwamba, ameshajua kuwa atashinda uchaguzi wa mwaka huu?
Kwakweli !وَمَكَرُوا۟ وَمَكَرَ ٱللَّهُ ۖ وَٱللَّهُ خَيْرُ ٱلْمَٰكِرِينَ
"Wamakaruu wamakarallahu wallahu khayrul-makiriin"
"Na wao walipanga mipango yao, na Mwenyezi Mungu akapanga yake. Na Mwenyezi Mungu ndiye mbora wa wapangaji." Surat Al-Imran (3:54).
ITOSHE KUSEMA HAYO MANENO
Kawaida,hizo ni lugha za kutishana kwenye siasa kama vile mabondia wanapokuwa ulingoni kabla ya pambano,mnapigana mikwala kwanza...Nimemsikia afande samia huko Arusha akijimwambafai mbele ya wanawake wenzie kuwa yupo madarakani mpaka 2030.
Swali langu ni kwamba, ameshajua kuwa atashinda uchaguzi wa mwaka huu?
Huoni anavyohema akichechemea? Magufuli alikuwa anazuga kwa kupiga push ups na alitwaliwa itakuwa Huyu bibi!Na nisikiavyo nae afya yake ni tia maji.
Ulevi wa madaraka hauna tofauti na wa pombe, bangi nk! Kama ujuavyo mtu akishalewa uwezo wake wa kufikiri hupungua, hivyo hayo ni matokeo ya ulevi wa madaraka!Nimemsikia afande samia huko Arusha akijimwambafai mbele ya wanawake wenzie kuwa yupo madarakani mpaka 2030.
Swali langu ni kwamba, ameshajua kuwa atashinda uchaguzi wa mwaka huu?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maadhimisho mengine ya Siku ya Wanawake yatafanyika mwaka 2030 wakati atakapoachia ngazi.
View attachment 3263722
My Take
Chadema tafuteni kazi ya kufanya, uchaguzi umekwisha tunasubiria Uapisho tuu hiyo Oktoba.
View attachment 3263987
Mlipigwa mnasingizia wiziYah right. MAZA ana uhakika wa kuiba uchaguzi kama alivyofanya 2024 akisadiana na Mkwe wake.
Mungu akipenda InshaallahMagufuli alikuwa aage mwaka huu 2025 lakini kilichotokea...☠️☠️☠️
Mlipigwa mnasingizia wizi
Jifunzeni kujua hii Dunia ni Ngum sana ,no reforms no electionRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Mkoani Arusha, tarehe 08 Machi, 2025 amesema sherehe hizo zitakuwa zinafanyika Kimikoa lakini zitafanyika kitaifa kila baada ya Miaka mitano.
Hivyo, sherehe nyingine za aina hiyo zitafanyika Mwaka 2030 atakapokuwa anaachia madaraka ya Urais na kukabidhi kijiti kwa mwingine.
Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia azindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025
My Take
Chadema tafuteni kazi ya kufanya, uchaguzi umekwisha tunasubiria Uapisho tuu hiyo Oktoba.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa uchaguzi wa juzi akiwemo lissu mbele ya Kamera uliona wizi wa kura kama ule wa 2020, ?Mpinzania anapojimwambafai kuwa anashinda ila police wanakwapua kura huwa anakua amejihakikishia na nini? Juzi Tundu kabla hajashinda alishasema lazima atashinda kwa sababu ana hakika na team yake,alikua ameshaona kuwa ameshinda?
Siasa iache kama huijui