Pre GE2025 Samia: Sherehe nyingine za Kitaifa za Wanawake Zitafanyika 2030 wakati naachia ngazi, nitawaaga katika sherehe hizo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kale kwanza ushibee.. Usikute nabishana na mbumbumbu mmojaa asiyeijua kesho yake.... Bado unapigania tumbo wewe akili yako finyuu pole... Sanaa... Maskini wa fikra wewe..
Wewe hapo tofauti na tumbo lako inapigania nini tangible?
 
amependeza na analips nzuri.
20250307_181655.jpg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maadhimisho mengine ya Siku ya Wanawake yatafanyika mwaka 2030 wakati atakapoachia ngazi.

View attachment 3263722

My Take
Chadema tafuteni kazi ya kufanya, uchaguzi umekwisha tunasubiria Uapisho tuu hiyo Oktoba.
View attachment 3263987
umenena ukweli mtupu Dr.Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania wote :KasugaYeah:
 
Huyu kama aking'ang'ana kwenye madaraka, hafiki 2030. Ndiyo maana hata kuutaja mwaka 2030 sauti na mdomo wake vimekataa
Kama kweli atavuka na kiti 2025 basi in between hapo Nchimbi atakuwa Rais.
 
Swali la kujiuliza ana hakika gani kama atakuwa Rais!!?? Ina maana ana maamuzi ya wapiga kura?!!! Ina maana uchaguzi utakaofanyika ni Maigizoo??!! Nawaheshimu sana Mpango na Kinana... Wana akili kubwa sanaa....
Aisee! Umesema niliyokuwa nawaza! Mungu akubariki sana!
 
Swali la kujiuliza ana hakika gani kama atakuwa Rais!!?? Ina maana ana maamuzi ya wapiga kura?!!! Ina maana uchaguzi utakaofanyika ni Maigizoo??!! Nawaheshimu sana Mpango na Kinana... Wana akili kubwa sanaa....
Upinzani hawawezi kushinda labda ndani ya ccm atokee mwingine
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maadhimisho mengine ya Siku ya Wanawake yatafanyika mwaka 2030 wakati atakapoachia ngazi.

View attachment 3263722

My Take
Chadema tafuteni kazi ya kufanya, uchaguzi umekwisha tunasubiria Uapisho tuu hiyo Oktoba.
View attachment 3263987
Hakutia neno kama nikiwa mzima na mwenyewe afya? Akina Magu walikuwa na mipango kamambe kushinda hiyo ya Samia.
 
haha angalau hata angeweka neno Mungu akipenda lkn waislamu hawana hilo neno hata hivyo, hajui mpaka 2030 is a loong time chochote kinaweza kutokea kati ya leo na 2030 …
Waislamu wao wanasema in shaa Allah na ndio tafsiri ya Mungu akipenda
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maadhimisho mengine ya Siku ya Wanawake yatafanyika mwaka 2030 wakati atakapoachia ngazi.

View attachment 3263722

My Take
Chadema tafuteni kazi ya kufanya, uchaguzi umekwisha tunasubiria Uapisho tuu hiyo Oktoba.
View attachment 3263987
Nawapenda sana watu WASIOMTANGULIZA MUNGU kwenye kauli zao, matokeo Mungu Huwa anapangua mipango kwa kosa la kutomshirikisha.🤔🤔🤔

Msemo wa Kiswahili "ANAYELIRUKA SHIMO AMEAGANA NA NYONGA"
 
Basi unajifanya kumjua Mungu saana 🤣🤣
 
S
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maadhimisho mengine ya Siku ya Wanawake yatafanyika mwaka 2030 wakati atakapoachia ngazi.

View attachment 3263722

My Take
Chadema tafuteni kazi ya kufanya, uchaguzi umekwisha tunasubiria Uapisho tuu hiyo Oktoba.
View attachment 3263987
Sasa we akili yako kabisa unafikiri Chadema itashinda? Watu wengine .mna nini vichwani?
 
Back
Top Bottom