Pre GE2025 Samia: Sherehe nyingine za Kitaifa za Wanawake Zitafanyika 2030 wakati naachia ngazi, nitawaaga katika sherehe hizo!

Pre GE2025 Samia: Sherehe nyingine za Kitaifa za Wanawake Zitafanyika 2030 wakati naachia ngazi, nitawaaga katika sherehe hizo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Swali la kujiuliza ana hakika gani kama atakuwa Rais!!?? Ina maana ana maamuzi ya wapiga kura?!!! Ina maana uchaguzi utakaofanyika ni Maigizoo??!! Nawaheshimu sana Mpango na Kinana... Wana akili kubwa sanaa....
Ila huyu mtoa post yuko tayari hata kuvaa hijab afanane na mama Abdul
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maadhimisho mengine ya Siku ya Wanawake yatafanyika mwaka 2030 wakati atakapoachia ngazi.

View attachment 3263722
Hii haibu kubwa , akiwa anaachia ngazi, kwamba anamkataba na Mungu, binadam tunajaa viburi mpaka tunajisahau, basi tu ni kwa sababu mwaka huu hakuna uchaguzi
 
Kuna mtu kanimbia ukishindwa kujenga katk kipindi hiki cha samia ni ngumu sna kujenga mnk kuna vitu vimelegezwa
 
Harafu mambo ya Mungu Samia hawezi yazungumzia
Exactly, Samia lazima azungumzie mipango yake, maana hata Mungu hufanikisha mipango ya mtu ila siyo kumtengenezea mtu mipango.

Sasa kama mtu anapaswa kuandaa mipango yake yeye mwenyewe, hawezi kujitabiria kushindwa. Labda awe chizi.
 
Back
Top Bottom