ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #81
Sawa Msemaji wa Mungu uko sahihiKwanini unachukia kumtaja Mungu?? punzi, uhai vyote no Mali yake, kwanini tusimtangulize??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Msemaji wa Mungu uko sahihiKwanini unachukia kumtaja Mungu?? punzi, uhai vyote no Mali yake, kwanini tusimtangulize??
Optimism!! Why not??Swali la kujiuliza ana hakika gani kama atakuwa Rais!!?? Ina maana ana maamuzi ya wapiga kura?!!! Ina maana uchaguzi utakaofanyika ni Maigizoo??!! Nawaheshimu sana Mpango na Kinana... Wana akili kubwa sanaa....
Kwahiyo hakuna haja ya kujiandikisha wala kwenda kupiga kura kwakuwa kiongozi amekwishajibandikaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maadhimisho mengine ya Siku ya Wanawake yatafanyika mwaka 2030 wakati atakapoachia ngazi.
Nani kasema hayo?Kwahiyo hakuna haja ya kujiandikisha wala kwenda kupiga kura kwakuwa kiongozi amekwishajibandika
Nani kasema hayo?
Mtieni laana tu ... Mungu aingilie kati kama Kwa kiongozi wa malaika.....😂😂😂😂 Wewe utafika? Huyo ndio Rais utake au usiake hayo ya kufika au kutoka sio ya kwako.
Aksante sana kwa kejeli, DHIHAKA na dharau ya kudharau jina la Mungu!! Ubarikiwe 🙏🙏Sawa Msemaji wa Mungu uko sahihi
Si anajitabiria mema.Nimemsikia afande samia huko Arusha akijimwambafai mbele ya wanawake wenzie kuwa yupo madarakani mpaka 2030.
Swali langu ni kwamba, ameshajua kuwa atashinda uchaguzi wa mwaka huu?
Mbona CHADEMA wanasema No Reforms No Election, tafsiri yake ndiyo hiyo. Maana hawatashiriki uchaguzi hivyo kumfanya Samia akose mshindaniNimemsikia afande samia huko Arusha akijimwambafai mbele ya wanawake wenzie kuwa yupo madarakani mpaka 2030.
Swali langu ni kwamba, ameshajua kuwa atashinda uchaguzi wa mwaka huu?
Hata Magufuli alijua atafika 2025, mwache ajichurie tu,mwosha huoshwa.Nimemsikia afande samia huko Arusha akijimwambafai mbele ya wanawake wenzie kuwa yupo madarakani mpaka 2030.
Swali langu ni kwamba, ameshajua kuwa atashinda uchaguzi wa mwaka huu?
Nimemsikia afande samia huko Arusha akijimwambafai mbele ya wanawake wenzie kuwa yupo madarakani mpaka 2030.
Swali langu ni kwamba, ameshajua kuwa atashinda uchaguzi wa mwaka huu?
Na nisikiavyo nae afya yake ni tia maji.Tatizo pekee lililopo ni kuwa mwanadamu anapanga yake na Mola nae anapanga yake. Kwa bahati mbaya ya Mola hayapanguki. Sasa muache ajihashue kutokujua kumbe labda ukomo wa pumzi zake ni April tu, hata uchaguzi asiuone.
وَمَكَرُوا۟ وَمَكَرَ ٱللَّهُ ۖ وَٱللَّهُ خَيْرُ ٱلْمَٰكِرِينَNimemsikia afande samia huko Arusha akijimwambafai mbele ya wanawake wenzie kuwa yupo madarakani mpaka 2030.
Swali langu ni kwamba, ameshajua kuwa atashinda uchaguzi wa mwaka huu?