Hivi sasa madukani soda za cocacola zenye sukari zimekuwa za kutafta kwa tochi. Zimejaa tu soda zisizokuwa na sukar

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,669
Huu ni wizi kabisa mchana kweupe. Hivi sasa madukani soda za cocacola zenye sukari zimekuwa za kutafta kwa tochi. Zimejaa tu soda zisizokuwa na sukari. Yani nitoe jero yangu nikanywe ma chemicals yasiyokuwa hata na radha. Mnafikiri kila mtu mgonjwa wa kisukari?

Ni sawa na kumuuzia mtu chai isiyokuwa na sukari.

Hata kama sukari imepanda bei au ndyo mmepandishiwa kodi, sio kwa kuuwa soko lenu kwa kujaza masoda yasiyokuwa na radha.

Mkiendelea hivi tutahamia pepsi alafu ayo masoda yenu mtajunywa wenyewe.
 
Vijijini wanakunywaga milinda nyeusi halafu wanasena tamuu.
Hapa town coke zero tuachie sisi.
 
Halafu haka kaujinga wakaache, last week nimezunguka maduka kama 3 hawana soda zenye sukari, juzi tu pale mitaa ya Tambaza naingia mgahawa flani nao wananiambia tuna koka zisizo na sukari sasa ndio mambo gani haya?
 
Halafu haka kaujinga wakaache, last week nimezunguka maduka kama 3 hawana soda zenye sukari, juzi tu pale mitaa ya Tambaza naingia mgahawa flani nao wananiambia tuna koka zisizo na sukari sasa ndio mambo gani haya?
Wanakera mimi leo imenibidi ninyewe supaleta. Maana mtaa mzma spleta ndyo yenye sukar
 
Ni kweli, sio sawa wengine ulevi wetu ni coca yenye sukari sasa wao wanatuona wote tunaumwa kisukari
 
Sukari ina madhara makubwa laiti ungejua hilo
Ulaya soda zote zenye sukari ya ziada wanalipa kodi zaidi na hii imepelekea makampuni wapunguze sana sukari kwenye soda
Nafikiri na sisi iwe hivyo
 
Wangewapao options,ukiwa unataka yenye sukari ujiue na kisukari then choice is yours,
 
Sukari ina madhara makubwa laiti ungejua hilo
Ulaya soda zote zenye sukari ya ziada wanalipa kodi zaidi na hii imepelekea makampuni wapunguze sana sukari kwenye soda
Nafikiri na sisi iwe hivyo
Soda hazihaanza kunywa leo bhna.

Alafu unakuta mtu nakataa kunywa soda et zina madhara ila unamkuta kwa wiki anajidunga crate ya bia.
 
Mara ya mwisho kunywa soda ni lini au had ckukuu ndyo unasubir idi ifike unywe soda?

Sio kunywa mimi nimefunga mitambo ya soda nakufanya kazi plant ya hapo dsm for more than three years mikochen B kabla sijaendelea na career kwingneko. Enzi za Panclas Babu na Dundus... DF manager Innocent Mush na Asset Care manager alikuwa Sosthenes Petter

I know it in detail mkuu
 
Kuhusu kupanda bei ya sukari
Kupanda kodi

Sio sahihi kabisa.

Ni market plan tu. Nisiseme mengi kibarua kikawa mashakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…