Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Huu ni wizi kabisa mchana kweupe. Hivi sasa madukani soda za cocacola zenye sukari zimekuwa za kutafta kwa tochi. Zimejaa tu soda zisizokuwa na sukari. Yani nitoe jero yangu nikanywe ma chemicals yasiyokuwa hata na radha. Mnafikiri kila mtu mgonjwa wa kisukari?
Ni sawa na kumuuzia mtu chai isiyokuwa na sukari.
Hata kama sukari imepanda bei au ndyo mmepandishiwa kodi, sio kwa kuuwa soko lenu kwa kujaza masoda yasiyokuwa na radha.
Mkiendelea hivi tutahamia pepsi alafu ayo masoda yenu mtajunywa wenyewe.