Hivi Serikali hii mna tatizo gani kutolipa wastaafu mafao yao? Hii ni laana mtaua wazee wa watu kwa mawazo

Hivi Serikali hii mna tatizo gani kutolipa wastaafu mafao yao? Hii ni laana mtaua wazee wa watu kwa mawazo

Hao wazee waliwazaa ili muwatunze, watunzeni wazee wenu, msitegemee serikali iwatunzie wazee wenu, kila mmoja abebe msalaba wake mwenyewe.
 
Nadhani wanabagua na watu wa kuwazungusha
 
pathetic, labda hali itabadilika baada ya roho ya aliyekuwa anazishikilia kupaa
 
Mimi nadhani uendeshwaji wa mifuko ya hifadhi ya jaamii unahitaji kuboreshwa.na serikali isichukue feda na kupeleka kwingine.mfano mwaka 2022 kutakuwa na sensa,utasikia viongozi wetu wakisema tutafanya sensa kwa fedha za ndani,kumbe Wana chukua kwenye mifuko ya hifadhi.unadhani hapo wastaafu wetu watalipwa kwa wakati?
Jiwe anaposema fedha za ndani ana maanisha fedha zote toka MIFUKO YA JAMII, HAZINA, BANKI KUU na baadhi ya Mabanki, Makampunii ya Simu na Viwanda! Jiulize kwa mfano kwa nini bidhaa muhimu sana kama Cement, Sukari na Simu bei zake hazishuki?
 
LAPF walikuwa wanalipwa miezi 2 kabla ya kustaafu akaingia mkuu wa malaika akavunja vunja matokeo yake imebaki NSSF na PSSF sijui ni hatari sna
 
LAPF walikuwa wanalipwa miezi 2 kabla ya kustaafu akaingia mkuu wa malaika akavunja vunja matokeo yake imebaki NSSF na PSSF sijui ni hatari sna
Inahuzunisha sana.
 
2025 nichagueni mimi niwe nawawekea pesa zenu moja kwa moja kwenye account zenu.
 
hao wazee waliwazaa ili muwatunze, watunzeni wazee wenu, msitegemee serikali iwatunzie wazee wenu, kila mmoja abebe msalaba wake mwenyewe.
Wewe fala watu wanaongelea michango yao si hisani ya serikali.
Walipe wazee michango yao waliochangia kwenye mifuko we unazumgumzia nini?
Akili hizi mnaziokotaga wapi?
 
Back
Top Bottom