Hivi Serikali hii mna tatizo gani kutolipa wastaafu mafao yao? Hii ni laana mtaua wazee wa watu kwa mawazo

Hao wazee waliwazaa ili muwatunze, watunzeni wazee wenu, msitegemee serikali iwatunzie wazee wenu, kila mmoja abebe msalaba wake mwenyewe.
 
Nadhani wanabagua na watu wa kuwazungusha
 
pathetic, labda hali itabadilika baada ya roho ya aliyekuwa anazishikilia kupaa
 
Jiwe anaposema fedha za ndani ana maanisha fedha zote toka MIFUKO YA JAMII, HAZINA, BANKI KUU na baadhi ya Mabanki, Makampunii ya Simu na Viwanda! Jiulize kwa mfano kwa nini bidhaa muhimu sana kama Cement, Sukari na Simu bei zake hazishuki?
 
LAPF walikuwa wanalipwa miezi 2 kabla ya kustaafu akaingia mkuu wa malaika akavunja vunja matokeo yake imebaki NSSF na PSSF sijui ni hatari sna
 
LAPF walikuwa wanalipwa miezi 2 kabla ya kustaafu akaingia mkuu wa malaika akavunja vunja matokeo yake imebaki NSSF na PSSF sijui ni hatari sna
Inahuzunisha sana.
 
2025 nichagueni mimi niwe nawawekea pesa zenu moja kwa moja kwenye account zenu.
 
hao wazee waliwazaa ili muwatunze, watunzeni wazee wenu, msitegemee serikali iwatunzie wazee wenu, kila mmoja abebe msalaba wake mwenyewe.
Wewe fala watu wanaongelea michango yao si hisani ya serikali.
Walipe wazee michango yao waliochangia kwenye mifuko we unazumgumzia nini?
Akili hizi mnaziokotaga wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…