LAPF walikuwa wanalipwa miezi 2 kabla ya kustaafu akaingia mkuu wa malaika akavunja vunja matokeo yake imebaki NSSF na PSSF sijui ni hatari sna
WEWE NI MMOJAWAPO WA WALE WNAOFANYA WATU KUIONA SERIKALI MBAYA. WAKUANGALIE KAMA UNAHUSIKA NA HII MIFUKO WAKUONDOE. KAMA HUHUSIKI NYAMAZAYaani we mwaka tu unaanza kulialia!!
Pesa inajenga Chato mkuuMimi mzazi wangu alistaafu enzi za kikwete december 31, 2015, imagine alistaafu december, january PPF walimlipa pensheni, na march 2016 , PPF wakamlipa lumpsum yake.. yaani fasta fasta ba hakuwai fatilia popote.. alikuwa ndani tu , ila malipo hayakuchelewa...nashangaa sijui nini kimetokea zama hizi
Kuna haja gani kuchelewesha mtu kupata mafao ambayo ni pesa zake?
Mjomba radhau hiyo kwenye haki ya mtuYaani we mwaka tu unaanza kulialia!!
Hii issue ni nyeti sana mkuu.Mimi kiukweli hua inanipa shida na ukakasi kuiongelea.Halafu the bad thing is,serikali imekiri ilikopa somewhere around 2.8tri.kwenye mifuko ya jamii,imelipa 1.2 trillion na zimebaki 1.6 trillion.Halafu wanasema wanajua wanadaiwa kiasi hicho, ila wanahakiki madeni.Ni ajabu,una hakiki nini sasa,umekopa rudisha.....!Mimi najua nadaiwa 100,000/= na Mr.X,halafu eti nahakiki!Nahakiki nini sasa?Ridiculous.Mbaya zaidi,nasema with laxity, huku wazee wa watu wakiendelea kuteseka,na wengine hata wanakufa!No, we have serious moral problems kama jamii.Yaani upendo umepoa kabisa.
Na hawa watumishi wanaotesa wazee wa watuu,hivi wamesahau kwamba na wao ipo siku watastaafu?Ajabu sana.
Angempiga na mangumi kabisaMwalimu mstaafu yasemekana amemchapa makofi mtumishi wa psssf baada ya kuzungushwa kwa karibu mwaka mzima.
Hao wazee waliwazaa ili muwatunze, watunzeni wazee wenu, msitegemee serikali iwatunzie wazee wenu, kila mmoja abebe msalaba wake mwenyewe.
Mitano tenaHaiwezekani mtu mwaka unaisha anafuatilia pesa yake na amekwisha staafu anazungushwa tu hakuna majibu ya kueleweka. Hivi huyu mzee mnata aingie mtaani aishi vipi wakati mshahara hana na pesa anazodai ni zake?
Hii siyo kujitafutia laana na chuki ni kitu gani? Mnadhani kiwango cha chuki nchini mwetu kiko juu, mnadhani kwa hali hii watu watalipendaje taifa?
Wazee hawa kila wakienda kwenye ofisi za mifuko yao ya hifadhi ya jamii wanaambiwa shida haipo kwao, tatizo Hazina ndio hawatoi pesa. Hivi Hazina hizi pesa ni za kwenu? Mtu process zote za kupatiwa pesa zake zimeshakamilika, mnachochelewesha ni kitu gani? Huu ubabe hata kwenye mali za watu utawasaidia kitu gani hasa?
Wabunge wanamaliza miaka yao 5 kabla hata ya kuanza uchaguzi mpya tayari wameshalipwa pesa zao, huu upendeleo ni wa hovyo kabisa na ni madhambi makubwa. Mungu ataendelea kuwalaani wote wanaohusika na kuwasumbua wazee hawa.
Bi mkubwa mwaka wa 2 huu anafuatilia bila bila.. Nauli mpaka sasa ishafika M moja na bado hajapata kitu.. Wingi wa mawazo kwakwe unanifanya kila nachopata mtu wa kwanza kumfikiria ni yeye.
Huu Mwaka wa 4 PSSSF wanamsumbua MZEE MSTAAFUHaiwezekani mtu mwaka unaisha anafuatilia pesa yake na amekwisha staafu anazungushwa tu hakuna majibu ya kueleweka. Hivi huyu mzee mnata aingie mtaani aishi vipi wakati mshahara hana na pesa anazodai ni zake?
Hii siyo kujitafutia laana na chuki ni kitu gani? Mnadhani kiwango cha chuki nchini mwetu kiko juu, mnadhani kwa hali hii watu watalipendaje taifa?
Wazee hawa kila wakienda kwenye ofisi za mifuko yao ya hifadhi ya jamii wanaambiwa shida haipo kwao, tatizo Hazina ndio hawatoi pesa. Hivi Hazina hizi pesa ni za kwenu? Mtu process zote za kupatiwa pesa zake zimeshakamilika, mnachochelewesha ni kitu gani? Huu ubabe hata kwenye mali za watu utawasaidia kitu gani hasa?
Wabunge wanamaliza miaka yao 5 kabla hata ya kuanza uchaguzi mpya tayari wameshalipwa pesa zao, huu upendeleo ni wa hovyo kabisa na ni madhambi makubwa. Mungu ataendelea kuwalaani wote wanaohusika na kuwasumbua wazee hawa.
Hatari sanaHaiwezekani mtu mwaka unaisha anafuatilia pesa yake na amekwisha staafu anazungushwa tu hakuna majibu ya kueleweka. Hivi huyu mzee mnata aingie mtaani aishi vipi wakati mshahara hana na pesa anazodai ni zake?