Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

Ukiangalie ile video utagundua kitu kuhusu maumbile ya mwanadamu...

Huwezi kumkomesha mwanamke na sex.
Binadamu ni kama nyani akiwa uchi.
Jamii ya Kitanzania imeharibika mno.
Watanzania wengi wanamatatizo ya akili.
Madhara ya vijana kutokuwa na elimu bora ya msingi na sekondari ni makubwa sana.

Wenye mamlaka baada ya kutoa matamko kaeni chini mtafakari nini kifanyike hali ni mbaya sana na athari inaweza kubwa sana.
Da ukiwa na roho nyepesi utalia tu yule wa nyuma alikua anachapa 0713 balaa wa chini alielemewa uzito alikula kidogo yule wa kunyonywa nae ilikua sio kivile ila lile kosa adhabu yake ni 30yrs au maisha yule Dada akipata wanasheria tu wale jamaa na yule Dada wa camera wamemwisha mazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo bwana kwa kukuza mambo hamjambo, yaani mwanamke abakwe awe vile! Mwanamke abakwe na bado atoe kilio cha mahaba!

Ile kitu ni majaribio ya kutoa video clip, kama ni kushtakiwa wote washitakiwe kwa kusambaza picha chafu na sio eti ubakaji.
Kuna hizo za wanaijeria jamaa anajifanya kama mwizi anaingia chumba cha wadada 2 anawakuta wamelala, anawaforce afanye nao mapenzi wote 2 na anawala wote wawili kweli;
Sasa wabongo mkiona kama hizo ndio sijui mtasemaje, wakati unakuta hiyo kitu ni planned
Tatizo wa bongo ni wavivu kufikiria na wepesi wa kucatch feelings ile ni biashara hakuna ubakaji wala nin.
 
Naona sasa tunako elekea sijui tuwafiche wapi watoto wetu hali ni mbaya sasa malaya wameamua kutangaza wazi video zao za ngono hadharani


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Da ukiwa na roho nyepesi utalia tu yule wa nyuma alikua anachapa 0713 balaa wa chini alielemewa uzito alikula kidogo yule wa kunyonywa nae ilikua sio kivile ila lile kosa adhabu yake ni 30yrs au maisha yule Dada akipata wanasheria tu wale jamaa na yule Dada wa camera wamemwisha mazima

Sent using Jamii Forums mobile app

Yah ni kweli, its straight 30yrs na wala huhitaji mwana sheria kichwa sana kumaliza kesi..
 
Wale inavyoonekana walikubaliana ama walikuwa wana compete ,kuona kama dada anaweza handle mtu tatu ndani ya track moja .

☆E pluribus unum☆
 
Hebu tuione kwanza kabla ya kutoa mawazooo
Mkuu kama unayo naomba nami nisafishe machooo
 
Ninyi wenzetu mna magroups ya aina gani?!!
Ya Menina niliikuta JF
Ya mchungaji yule niliishia kusikia sikia tu
Na leo tena kuna nyingine?!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwenye nayo jamani afanye kuitupa PM, haya maisha haya bila connection mmh! Ile Video ya Baba na mwana kidogo inipite, NASEMAJE hii ntapambana hadi niipate [emoji16]
Baba na mwana wanafanyaje mkuu
 
Jana kuna mtu alinitumia hiyo video mwanamke kafumaniwa na mke mtu kaja na masela watatu wakamuingilia yule mwanamke wengine mdomoni, wengine matakoni wengine ukeni. Magonjwa tu na nafsi zinateketea, giza linatawala dunia hii ya leo, Nuru ya Mungu iko wapi? Nimeshikwa na simanzi sana moyoni nimejisikia vibaya mno na hata usingizi wangu umekuwa wa shida niko macho toka saa kumi

Cha kwanza kabisa nimehuzunika mni, nilijikuta namuhoji Mungu yuko wapi? mpaka mambo kama haya yanatokea. Dunia ya leo mambo ya kishetani yanaonekana ya kawaida sana. I felt so weak, I felt useless like I cant do anything, only if I had their lives on my hand I would have made them suffer; they wouldn't die but they will suffer merciless. Watu wanafanya ufuska wanafanya uasherati watu wako wamegeuka kuwa wanyama. Nilijikuta tu nimefungua Biblia nikasoma Ayubu 42, lakini moyo wangu ukawa umefadhaika sana. .

Katika maisha yangu nishawahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliyebakwa, maisha yake yalikuwa machungu sana jamani. Maumivu yake yalikuwa makubwa mno, alijiona mchafu sana, kama mtu aliyelaniwa na hana thamani. Nilijitahidi sana kwa uweza wangu wote Mungu alionipa ikanishinda nikamwachia yeye. Namuombea kwa Mungu siku zote za maisha yake apate faraja, apate burudiko la nafsi, apate amani moyo wake uwe na furaha. .

Dunia hii ina watu wabaya sana, Mungu anisamehe tu kwa ubaya uliojijenga moyoni mwangu, chuki iliyo machoni mwangu, hasira itokayo nafsi mwangu, maneno yatokayo kinywani mwangu. Nalaani watu wote wanaofanya vitendo hivyo., savages they are, they are not human. I curse the day they are born, I curse their bones, they wont die easily and their lives will be bitter so empty. .

Jesus I marked your words from John 14:13-14 and John 16:23, where are you My Jesus?. .
[emoji23][emoji23] unajichosha bure tu watu walikuwa wana enjoy wala hakuna anayebakwa pale

☆E pluribus unum☆
 
Back
Top Bottom