Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

Kuna video moja ipo inasambaa mtandaoni inaonesha mwanamke mmoja kama anabakwa vile baada ya kutuhumiwa kuiba mume wa mtu; hivi serikali imechukuwa hatua zozote?

Maana achana na kusambaza video pia wahusika wametenda kosa la kumlawiti yule dada. Mimi binafsi sijaipenda maana kitendo kile alichofanyiwa ni kibaya, pia mwenye mume ana roho mbaya maana yule mwanamke katongozwa, kosa ni la mume wake na yeye pia kwa kushindwa kumridhisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Technical ile sio kufumwa wala nini ile ni watu wanajaribu kama sio kuact porn hadi director yupo .... kwa waangalia X wenzangu mnaweza mkajionea sikuizi Nigeria wanavyokua kwenye hii industry ya porngraphy pia nikwasababu sasa hivi kuna monetazation kwenye baadhi ya website kama Xvids na PH nazinginezo ....mambo yanabadilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna video moja ipo inasambaa mtandaoni inaonesha mwanamke mmoja kama anabakwa vile baada ya kutuhumiwa kuiba mume wa mtu; hivi serikali imechukuwa hatua zozote?

Maana achana na kusambaza video pia wahusika wametenda kosa la kumlawiti yule dada. Mimi binafsi sijaipenda maana kitendo kile alichofanyiwa ni kibaya, pia mwenye mume ana roho mbaya maana yule mwanamke katongozwa, kosa ni la mume wake na yeye pia kwa kushindwa kumridhisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hakuwa anatosheka ngoja apate dozi itakayomtosha wewe unalalamika nini? mwenzako anaenjoy
 
PRO 90, Yule mwanamke anajulikana kama Wayvera, wanamagroup yao ya ngono telegram huko wanauza video. Ukiangalia vizuri hiyo video hata yeye unaona kakitambaa cheusi kamekatiza nyuma ya kisogo ni huwa anavaa kamask.
Ouh. So alikuwa ktk harakati za kutengeneza video kumbe..
 
Ukiangalie ile video utagundua kitu kuhusu maumbile ya mwanadamu...

Huwezi kumkomesha mwanamke na sex.
Binadamu ni kama nyani akiwa uchi.
Jamii ya Kitanzania imeharibika mno.
Watanzania wengi wanamatatizo ya akili.
Madhara ya vijana kutokuwa na elimu bora ya msingi na sekondari ni makubwa sana.

Wenye mamlaka baada ya kutoa matamko kaeni chini mtafakari nini kifanyike hali ni mbaya sana na athari inaweza kubwa sana.
 
Jana kuna mtu alinitumia hiyo video mwanamke kafumaniwa na mke mtu kaja na masela watatu wakamuingilia yule mwanamke wengine mdomoni, wengine matakoni wengine ukeni. Magonjwa tu na nafsi zinateketea, giza linatawala dunia hii ya leo, Nuru ya Mungu iko wapi? Nimeshikwa na simanzi sana moyoni nimejisikia vibaya mno na hata usingizi wangu umekuwa wa shida niko macho toka saa kumi

Cha kwanza kabisa nimehuzunika mni, nilijikuta namuhoji Mungu yuko wapi? mpaka mambo kama haya yanatokea. Dunia ya leo mambo ya kishetani yanaonekana ya kawaida sana. I felt so weak, I felt useless like I cant do anything, only if I had their lives on my hand I would have made them suffer; they wouldn't die but they will suffer merciless. Watu wanafanya ufuska wanafanya uasherati watu wako wamegeuka kuwa wanyama. Nilijikuta tu nimefungua Biblia nikasoma Ayubu 42, lakini moyo wangu ukawa umefadhaika sana. .

Katika maisha yangu nishawahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliyebakwa, maisha yake yalikuwa machungu sana jamani. Maumivu yake yalikuwa makubwa mno, alijiona mchafu sana, kama mtu aliyelaniwa na hana thamani. Nilijitahidi sana kwa uweza wangu wote Mungu alionipa ikanishinda nikamwachia yeye. Namuombea kwa Mungu siku zote za maisha yake apate faraja, apate burudiko la nafsi, apate amani moyo wake uwe na furaha. .

Dunia hii ina watu wabaya sana, Mungu anisamehe tu kwa ubaya uliojijenga moyoni mwangu, chuki iliyo machoni mwangu, hasira itokayo nafsi mwangu, maneno yatokayo kinywani mwangu. Nalaani watu wote wanaofanya vitendo hivyo., savages they are, they are not humans. I curse the day they were born, I curse their bones, they wont die easily and their lives will be bitter and so empty. .

Jesus I marked your words from John 14:13-14 and John 16:23, where are you My Jesus?. .
 
Ninyi wenzetu mna magroups ya aina gani?!!
Ya Menina niliikuta JF
Ya mchungaji yule niliishia kusikia sikia tu
Na leo tena kuna nyingine?!!

Inaonekana huna connection ndugu, mbona ipo magroup mengi hii


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom