Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

Wanawake siku hizi wanatongoza pia so kigezo cha mwanamke katongozwa hicho kifute mkuu,pia sio kila ukitongozwa lazima ukubali utakua ma.ala...ya wa kutupwa sasa. Acha walipie umalaya wao,unaweza kukuta kawatesa sana watoto wa hiyo familia aliyokua anakula na baba yao.

macson
So what if mwanaume alipotongoza alisema hana mke??? Hatuwezi kuhukumu vile ule ni ushetani Kuna vitu vinahitaji hekima zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwel kabisa usemayo, ile sio video ya kuitafuta kuangalia. Ilinipa huzuni sana, watu wamekua kama wanyama kwa yale wanayowafanyia binadamu wenzake + uchafu umezidi
Sema mtoa mada umenena jambo la msingi, wizara/viongozi husika wafanye jambo kuwaadabisha wahusika.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu
 
Inahuzunisha, yule mwenye mume kakaza kabisa kumwambia mwanamke mwenzie "tulia ufr.. w.... Daaah....

Jamani wanaume wengine hawasemi kama wameoaaa jitu linakomaa kabisa sina mkeee mwisho yanatokea haya.... Hizi mambo tuwege na busara kidogo kwenye kuchukua maamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila yule mke mtu ni mjinga, badala adeal na mume wake arekebishe penye ufa anadeal na mchepuko na ukute kama hvyo hakuambiwa kama ameoa maana kuna watu hawavai pete za ndoa. Sasa atasulubisha wangapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Technical ile sio kufumwa wala nini ile ni watu wanajaribu kama sio kuact porn hadi director yupo ....kwa waangalia x wenzangu mnaweza mkajionea sikuizi nigeria wanavyokua kwenye hii industry ya porngraphy pia nikwasababu sasa hivi kuna monetazation kwenye baadhi ya website kama xvids na ph nazinginezo ....mambo yanabadilika

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile porn bhana, hawa malaya wa telegram na whatsapp groups wanazirecord na kuuza kwenye groups
Kuna siku malaya alitaka watu wa threesome wenye sizes azitakazo
Wanaweza hadi mashindano ya kukalia chupa. So wasituchoshe
 
Mwenye nayo jamani afanye kuitupa PM, haya maisha haya bila connection mmh! Ile Video ya Baba na mwana kidogo inipite, hii ntapambana hadi niipate 😁
Umenifanya nicheke kuwa nzima.
Yaani mpaka video ya utamu inahitajika connection.
Hata Mimi niliipata kwa workmate wangu kama utani baada ya kuisaka bila mafanikio
 
Acheni uongo
Hakuna mwenye mme pale,wala alofumaniwa
Inahuzunisha, yule mwenye mume kakaza kabisa kumwambia mwanamke mwenzie "tulia ufr.. w.... Daaah....

Jamani wanaume wengine hawasemi kama wameoaaa jitu linakomaa kabisa sina mkeee mwisho yanatokea haya.... Hizi mambo tuwege na busara kidogo kwenye kuchukua maamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida muhisika ankataa anasema sio yeye kwahiyo moja kwa moja kesi imekosa mlalamikaji.
Kweli kabisa haikua kitendo kizuri
Tena wameenda mbali zaidi wamemrekodi
Ni aibu kubwa Sana kwake

Mamlaka husika waingilie kati mhusika ajitokeze, Walio husika wachukuliwe hatua
Binafsi nimepata kuona moja ambay huoni Sura zao wale watu

Mke wa mtu Sumu
Mume wa mtu Sumu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila yule mke mtu ni mjinga, badala adeal na mume wake arekebishe penye ufa anadeal na mchepuko na ukute kama hvyo hakuambiwa kama ameoa maana kuna watu hawavai pete za ndoa. Sasa atasulubisha wangapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo mimi nashangaa, angedeal na mume wake, hawa wanaume ni wapuuzi kupitiliza......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom