Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

Umeugusa moyo wangu dah hadi natamani kulia aisee
Jana kuna mtu alinitumia hiyo video mwanamke kafumaniwa na mke mtu kaja na masela watatu wakamuingilia yule mwanamke wengine mdomoni, wengine matakoni wengine ukeni. Magonjwa tu na nafsi zinateketea, giza linatawala dunia hii ya leo, Nuru ya Mungu iko wapi? Nimeshikwa na simanzi sana moyoni nimejisikia vibaya mno na hata usingizi wangu umekuwa wa shida niko macho toka saa kumi

Cha kwanza kabisa nimehuzunika mni, nilijikuta namuhoji Mungu yuko wapi? mpaka mambo kama haya yanatokea. Dunia ya leo mambo ya kishetani yanaonekana ya kawaida sana. I felt so weak, I felt useless like I cant do anything, only if I had their lives on my hand I would have made them suffer; they wouldn't die but they will suffer merciless. Watu wanafanya ufuska wanafanya uasherati watu wako wamegeuka kuwa wanyama. Nilijikuta tu nimefungua Biblia nikasoma Ayubu 42, lakini moyo wangu ukawa umefadhaika sana. .

Katika maisha yangu nishawahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliyebakwa, maisha yake yalikuwa machungu sana jamani. Maumivu yake yalikuwa makubwa mno, alijiona mchafu sana, kama mtu aliyelaniwa na hana thamani. Nilijitahidi sana kwa uweza wangu wote Mungu alionipa ikanishinda nikamwachia yeye. Namuombea kwa Mungu siku zote za maisha yake apate faraja, apate burudiko la nafsi, apate amani moyo wake uwe na furaha. .

Dunia hii ina watu wabaya sana, Mungu anisamehe tu kwa ubaya uliojijenga moyoni mwangu, chuki iliyo machoni mwangu, hasira itokayo nafsi mwangu, maneno yatokayo kinywani mwangu. Nalaani watu wote wanaofanya vitendo hivyo., savages they are, they are not human. I curse the day they are born, I curse their bones, they wont die easily and their lives will be bitter so empty. .

Jesus I marked your words from John 14:13-14 and John 16:23, where are you My Jesus?. .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom