Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Siyo kama ni bidhaa, ni bidhaa kamili.wana group lao telegram. niliwahi kuingia kipindi fulani,daah nilihisi nipo dunia ya tofauti sana. kule mademu kama bidhaa tu
Maana wanakwambia njoo na cash, hawataki kuolewa wala mahusiano, hapo utasemaje?
Sent using Jamii Forums mobile app