Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

Kwa hali ilivyo zitaongozeka sana. Sekta ya umalaya imepiga hatua kwa sasa. Wanatumia mbinu mbili kuu.

1. Wanatumia telegram kama sehemu ya kutangaza biashara na kupata wateja kwa kuwa ina uwezo wakuficha mawasiliano yao halisi.

2. Wanatumia kikuku cha miguuni kama ID yao kuu.
 
Ila mbona kuna muda alikua analalamika kwamba inatosha wamuache wale wadada wengine wakawa wanasema muddy muache mtamuuwa amechoka jamaa anasema afe na nini bana hahahaa.

Halafu aliekuwa anaambiwa asigeuke ni yule jamaa aliekuwa chini coz alikua anataka kitaulo ajifute jasho ndo yule dada akamwambia tulia uletewe usijitingishe utaonekana kwenye camera.. Yule dada wamemkomoa tu ingawa yes ana kauzoefu kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hali ilivyo video zitaongozeka sana.
Kwa taarifa ni kwamba, Sekta ya umalaya imepiga hatua kwa sasa. Wanatumia mbinu mbili kuu.
1. Wanatumia telegram kama sehemu ya kutangaza biashara na kupata wateja kwa kuwa ina uwezo wakuficha mawasiliano yao halisi.
2. Wanatumia kikuku cha miguuni kama ID yao kuu.
Mengine mtaongezea


3. Nywele zilizoungua
 
Randy orton,
Mimi naona wawaache tu wapumbavu wakubwa maana wote walidhamiria wanawake walio wengi leo hiio hawajeilewi na sijui hakuna za haki za wanawake wala nini hapo wawaache tu waipate joto
 
Naomba wote mnisikilize kwa makini nimesoma comment nying nimegundua kuwa watu ni washamba na huu ushamba ndio utatumaliza.

1.mamlaka haziwezi ingilia kati video kama izo mpaka wapate maelezo kutoka kwa wahusika au aliyebakwa aende kufungua mashtaka ukienda xvideo zipo video wana act km forced sex lakini ni igizo na kuna ambazo ni real hazikuwa hivyo video nimechek kwa uzoefu wangu ile sio act ni kweli.

2.kuna watu wanashangaa eti video mbaya sana nakwambiaje hiyo video ndogo kuna video mbaya mtandaoni mpaka google na mitandao mikubwa wakawekewa mashart wazidelete ingia darkweb uone balaa watumwa wanavyobakwa uko Libya na Uarabuni
 
Kama ingekuwa Huyo mama ameamua kumkomoa huyo Dada kweli basi angeonesha na sura yake wakati anafanyiwa hicho kitendo

Lakini inavyoonekana ni hiari ya Dada huyo kufanyiwa hivyo na ni Mzoefu pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom