Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

Nime iona hiyo video wale walikuwa wana igiza tu mwanamke mwenyewe anatoa ushirikiano kama wote mseme wame mlazimisha tena ana kata na uno kabisa huku anatoa blowjob matata na vyote anafanya kwa pamoja. Halafu yule mwanamke mwingine ana mwambia mwenzake tulia usijitingishe utaonekana sura halafu mseme eti kuna mtu kalazimishwa pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeeyaa

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
 
Acheni umbea, Acheni kuingilia mambo ya watu shughulikieni yenu..

Kama umeitizama hiyo video mpaka ukamjua director nani basi wewe unayapenda hayo mambo..

Kama hao kwenye video hawajalazimishwa, wamefanya kwa raha zao sasa wewe inakuuma nini..?!!

Na wewe weka video yako tukuone, kama utaweza kuipita kwa ukali hiyo video uliyoiona
Hii ndio dunia ya leo mawazo ambayo sikuyatalajia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona hivi ujue kwa sasa locol ponography ...industry bongo inakuwa sana kwa kasi kubwa vijana wengi sasa wanapenda .....ngono ...na kufatilia umbeya

Insta video zinauzwa live live, Telegram kuna channel za wadada wanajiuza

Hayo yote yanaashiria kuwa mmomonyoka wa maadili upo juu sana ,na kumekuwa na matumizi hasi ya kutumia technologia katika kujikwamu

Nini kifanyike ...mamlaka husika ...zijitahidi sana kufatilia kimya kimya na kuwanasa na wale miaka kuanzia 7 na kuendelea

Na kuundwe centa maalum ya kitaifa ya cber yenye kufatilia kwenye social media zote kila , ukiposti wa insatant ufute na acount ile burn ...kwa miez kadhaa...!!

Nadhani hii itaweza kusaidia china wamefaulu katika mitandao ya social media .... !! Hakuna ujinga kama wetu ..idadi kubwa ya maskini wanaongezeka kwa kishabikia mambo ya kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani mbona tunaingilia mambo ya watu (faragha)? Dada mwenyewe keshajitokeza na anawashtaki wote mnaosambaza faragha zake (UDHALILISHAJI).

walikuwepo kina Wema Sepetu, Amber Rutty, kuna Dada wa kingoni huko Somgea bombambili nk
wewe unakuta picha haifai kwanini unaifungua na kuisambaza unadai maadili ni KOSA kwako
Kaa kimya sio kuiita Serikali ili ifanyeje, mbona wote walioshtakiwa kwa faragha wameachiwa wameonywa wasisambaze sio wasipige picha au kujirekodi.
 
Jamani jamani yule mwanamke alichomfanyia mwezake ptuuuu! Ule ni unyama wanaume watatu! Serikali iangalie hii kesi ni kubwa sana. Hapo kwanza kuna kosa la Kuala, kumuingilia kinyume na maumbile kurikodi na kusambaza hiyo video.

Yule mwanamke sio binadamu wa kawaida watu wengine ni milli tu yakibinadamu ila roho ni za wanyama
 
Back
Top Bottom