Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

Gily,

Yaani wewe bwana, yoote hayo bado na yataongezeka mengine meengi

Lakini mbingu za sasa na nchi zimewekwa akiba kwa moto, kwa neno lilo hilo, zikilindwa hata siku ya hukumu, na ya kuangamia kwao wanadamu wasiomcha Mungu.

2 Petro 3:7
 
Kwa anayetaka kuiona hiyo video sishauri kabisa aione, nimeiona ila imeniathiri kwa kufkiria watu wanawezaje kuwa na roho mbaya kiasi hicho hususan wanawake.
 
Ninyi wenzetu mna magroups ya aina gani?!!
Ya Menina niliikuta JF
Ya mchungaji yule niliishia kusikia sikia tu
Na leo tena kuna nyingine?!!
Bwana weeee Kuna watu Wana roho za Paka wamemshindilia mavitu yule dada mmoja kamuweka mdomoni mmoja shimo la mbele mwingine nyuma... Mmmh yule mwanamke ndiye mchukuwa video... Hatari tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh sikubaliani na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madhara ya kuacha mila na desturi zetu na kukumbatia umagharibi. Tumegeuka wagonjwa wa akili.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Background music ulikuwa wimbo wa the mafik - passenger
 
Umemaliza kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake siku hizi wanatongoza pia so kigezo cha mwanamke katongozwa hicho kifute mkuu, pia sio kila ukitongozwa lazima ukubali. Acha walipie umalaya wao, unaweza kukuta kawatesa sana watoto wa hiyo familia aliyokua anakula na baba yao.

Macson
 
Kwa anayetaka kuiona hiyo video sishauri kabisa aione, nimeiona ila imeniathiri kwa kufkiria watu wanawezaje kuwa na roho mbaya kiasi hicho hususan wanawake.
Kweli kabisa usemayo, ile sio video ya kuitafuta kuangalia. Ilinipa huzuni sana, watu wamekua kama wanyama kwa yale wanayowafanyia binadamu wenzake + uchafu umezidi

Sema mtoa mada umenena jambo la msingi, wizara/viongozi husika wafanye jambo kuwaadabisha wahusika.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inahuzunisha, yule mwenye mume kakaza kabisa kumwambia mwanamke mwenzie "tulia ufr.. w.... Daaah....

Jamani wanaume wengine hawasemi kama wameoaaa jitu linakomaa kabisa sina mkeee mwisho yanatokea haya.... Hizi mambo tuwege na busara kidogo kwenye kuchukua maamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…