Bila serikali kuingilia watakaoweza kupigania haki yao ni wachache.Ndio hivyo sio kila kitu hadi serikali ije kukusaidia sasa watasaidia wapumbavu wangapi.
Mimi kawaida yangu huwa nawataimu miezi 6 ifike kama sheria yao inavyosema baada ya hapo huwa nakuwa mbogo hadi wenyewe wanaicheua pesa yangu,huwa sibembelezi kwenye pesa yangu mwenyewe.
Fika pale washa moto nenda kwa meneja washa Moto kuwa Kama mbogo uone Kama kadi hupewi.Mkuu NSSF Ubungo Plaza kuna mama mmoja mweupe flani hivi, mfupi kiasi ana vidoti usoni. Tangu mwaka jana July nikienda kutafuta kadi ananambia mashine imeharibika, anataka kumaanisha hawajawahi toa kadi tangu nijiandikishe. Nikawa nawasikia wanapiga story za watoto wao wako Uturuki wanasoma.
Mimi sijawahi kuweka ela NSSF wala kokotekwakuwa sijawahi ajiliwa serikalini wala sekta binafsi toka nianze kujitegemea. Ila hiki nikilio cha wengi kuanzia ndugu marafiki na wengine.SAsa kama data zako wanazo wewe kwanini usiseme data mnazo msinisumbue nipeni hela zangu. Sikia wewe mimi huko napajua na nimechukua visent vyangu si Mara moja.
Tatizo la wabongo ni uoga na ujinga ... Mitanzania mingi Ni mijinga hata awe na madegree hata 100 ila Kuna ule ujinga wa asili. Na kupitia huu ujinga ndio mtaji mkubwa wa hawa wapuuzi .
Kama unajua umekamilisha kila kitu kwanini utumwe vitu vingine... fanya reasoning sio unapelekwa Kama limbuzi. Vitu vingine kataa sema unataka kuonana na Meneja wa tawi ukifika ndani washa moto acha uoga. Haki haijawahi kuombwa unaitafuta Tena kwa Damu na jasho. Sio mnakaa kulia Lia tu. Hakuna nchi mabadiriko yamefanywa na viongozi tu lazima wanachi muwe sehemu ya hayo mabadiriko.
Hata viongozi wajitahidi vipi kuweka system vizuri Kama wewe raia hutaki kuwa sehemu ya kufanikisha hayo mabadiriko hakuna litakalotokea.
Ndio maana hii nchi haitakuja kuendelea kwa kuwa na raia wapumbavu sampuli yako. Mtanyanyasika sana na utasubiri Sana uwe unapiganiwa haki zako na Serikali. Endelea kusubiri tu.Bila serikali kuingilia watakaoweza kupigania haki yao ni wachache.
Kwani serikali imeshindwa kufanya haya mashirika yatoe haki pasipo watu kupigania au kutumia nguvu?
Hivi ukiwa na mtoto tahira utamuacha tu aonewe au utamjengea mazingira ya kumwezesha kumudu kuishi kwa urahisi zaidi?
Unaongea vitu hata huvijui.Mimi sijawahi kuweka ela NSSF wala kokotekwakuwa sijawahi ajiliwa serikalini wala sekta binafsi toka nianze kujitegemea. Ila hiki nikilio cha wengi kuanzia ndugu marafiki na wengine.
Ninalosikia ukmbishia anageuza shingo anaacha hata kukusikiliza au anaita mlinzi akurushe nje. Watu wanalalamika sana huyo meneja utamwona wapi bank wakati hawakuruhusu hata uingie. Umesahau wabongo uwa hawapendi umuone boss.
NInakuuliza tena serikali imeshindwa kumanage taasisi zake zikatoa haki bila watu kutumia nguvu? Au utaratibu ni mpaka kila mtu atumie nguvu?Ndio maana hii nchi haitakuja kuendelea kwa kuwa na raia wapumbavu sampuli yako. Mtanyanyasika sana na utasubiri Sana uwe unapiganiwa haki zako na Serikali. Endelea kusubiri tu.
Kuna Haki na wajibu , kasome wajibu wako Kama raia na sio kutaka haki zako tu wakati wajibu wako kama raia wa kukemea uovu maofisini hutaki kufanya.
Utasubiri saaaaaaaana
Ni ujinga pesa uliyoisotea halafu umpe mtu rushwa wachukue hatua ikiwemo kuwapeleka mahakamani wameua ssra makusudiHivyo kumbe imekuwa ni mojawapo ya utaratibu uliohalalishwa kama mojawapo ya procedures?
Sikiliza nikwambie mkuu.Bila serikali kuingilia watakaoweza kupigania haki yao ni wachache.
Kwani serikali imeshindwa kufanya haya mashirika yatoe haki pasipo watu kupigania au kutumia nguvu?
Hivi ukiwa na mtoto tahira utamuacha tu aonewe au utamjengea mazingira ya kumwezesha kumudu kuishi kwa urahisi zaidi?
Ila una point ya msingi.Sikiliza nikwambie mkuu.
Watu wabaya au wala rushwa hawawezi kuisha wapo kila mahali popote duniani hata uende marekani.
Cha msingi ni wewe raia mwenyewe ujitambue.
Sasa wewe karani wa dirishani anakuzubaisha kukwambia lete akaunti yako,na wewe unaitikia wakati unajua akaunti ulishapeleka halafu unashindwa kumwambia,halafu ukitoka hapo eti ukamsemshitaki kwa serikali kisa alikwambia ulete akaunti mara 2.
toa taarifa TAKUKURU haraka , kuna namaba ya bure siikumbuki lkn utashughulikiwa haraka,Nadhani kwa sasa hawa wafanyakazi wa hilli shirika wamepiku askari wa babarani kwa kuonea watu na kula rushwa. Mtu akiwa nafuatilia haki yake atazungushwa sana ili mradi tu atoe rushwa.
Kuna mama mmoja ni kati ya wafanyakazi wa DSTV walioachishwa kazi toka mwaka juzi, amefuatilia anaambiwa atoe 20% ya pesa yake ndipo apewe ela yake kagoma, ila kila akienda wanamwambie leta hiki leta kile anafuata utaratibu wao akikaribia kumaliza wanamrudisha mwanzo kuwa kuna kitu kimemiss ambacho hakuwa kaambiwa.
Kuna mtu akamwambia hawa wanakufanyia makusudi hata haya wanayokwambia ulete hayana maana kwakuwa vitu vyote wanavyo kwenye system yao sasa yanini wakusumbue hivi?
Mimi pia nina ndugu yangu anafuatilia toka mwezi wa 3 aliambiwa atawekewa ela, wakamwambia mara afungue akaunti mpya mara hivi mara vile akakaribia kufika mwisho, eti sijui afungue akaunti nyingine na kumbuka akifanya hivi anaanza machakato mpya. Ndipo wakamwambia atoe milioni moja cash na mwingine ampelaki tano ndipo ela yake itaingia.
Kuna watu weengi wanalalamika sana juu ya haya mambo sijui kwanini serikali imeyafumbia macho.
Iweje mtu aweke pesa yake halafu akijaichukua asumbuliwe kama anasaidiwa?
Serikali itazame kwa umakini haya mashirika watu wanateseka sana na hawana pa kusemea
Ni unyonge wa hali ya juu..Hata mimi nawashangaa watanzania wana unyonge wa kipumbavu.
Wewe unajua kwamba akaunti ya benki ulishapeleka,unaambiwa upeleke tena akaunti halafu unaitikia tu bila kuhoji kwamba ile akaunti ya kwanza imepelekwa wapi,na kama imepotea kwa nini ipotee.
Lakini uwaulize maswali ya kina sio unapelekwa tu kama ling'ombe halafu unaitikia tu
Safi sana watu wanakuwa wazembe sana kudai haki zaoSAsa kama data zako wanazo wewe kwanini usiseme data mnazo msinisumbue nipeni hela zangu. Sikia wewe mimi huko napajua na nimechukua visent vyangu si Mara moja.
Tatizo la wabongo ni uoga na ujinga ... Mitanzania mingi Ni mijinga hata awe na madegree hata 100 ila Kuna ule ujinga wa asili. Na kupitia huu ujinga ndio mtaji mkubwa wa hawa wapuuzi .
Kama unajua umekamilisha kila kitu kwanini utumwe vitu vingine... fanya reasoning sio unapelekwa Kama limbuzi. Vitu vingine kataa sema unataka kuonana na Meneja wa tawi ukifika ndani washa moto acha uoga.
Haki haijawahi kuombwa unaitafuta Tena kwa Damu na jasho. Sio mnakaa kulia Lia tu. Hakuna nchi mabadiriko yamefanywa na viongozi tu lazima wanachi muwe sehemu ya hayo mabadiriko.
Hata viongozi wajitahidi vipi kuweka system vizuri Kama wewe raia hutaki kuwa sehemu ya kufanikisha hayo mabadiriko hakuna litakalotokea.
Mkuu NSSF Ubungo Plaza kuna mama mmoja mweupe flani hivi, mfupi kiasi ana vidoti usoni. Tangu mwaka jana July nikienda kutafuta kadi ananambia mashine imeharibika, anataka kumaanisha hawajawahi toa kadi tangu nijiandikishe. Nikawa nawasikia wanapiga story za watoto wao wako Uturuki wanasoma.
UjingaHuo uoga ni chanzo chake, je ni utamduni, elimu duni au ni nini hasa?