mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Ni uzoba tu ndugu ambao nafikiri umetokana na mazingira,haihusiani sana na elimu kwa sababu tunawaona hata hao maprofesa na madokta wanapelekeshwa tu na kulialia.
Mimi nilifungua macho baada ya kutoka kidogo nje ya mipaka ya Tanzania na kukaa na watu wa nchi mbalimbali nikagundua kumbe hata Boss wangu akikosea mahali nina haki ya kumfokea.
Hata hii leo kazini kwangu mabosi wananishangaa sana kwa sababu hawajawahi kukutana na mtu wa aina yangu ni mtu wa kunyoosha mstari.
Ukiniambia kitu nifanye naangalia mantiki yake kama hakina mantiki nakwambia No sifanyi hata wewe ni GM au Mkurugenzi wangu.

Huo uoga ni chanzo chake, je ni utamduni, elimu duni au ni nini hasa?