mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Huo uoga ni chanzo chake, je ni utamduni, elimu duni au ni nini hasa?
Ni uzoba tu ndugu ambao nafikiri umetokana na mazingira,haihusiani sana na elimu kwa sababu tunawaona hata hao maprofesa na madokta wanapelekeshwa tu na kulialia.
Mimi nilifungua macho baada ya kutoka kidogo nje ya mipaka ya Tanzania na kukaa na watu wa nchi mbalimbali nikagundua kumbe hata Boss wangu akikosea mahali nina haki ya kumfokea.
Hata hii leo kazini kwangu mabosi wananishangaa sana kwa sababu hawajawahi kukutana na mtu wa aina yangu ni mtu wa kunyoosha mstari.
Ukiniambia kitu nifanye naangalia mantiki yake kama hakina mantiki nakwambia No sifanyi hata wewe ni GM au Mkurugenzi wangu.
Mzee kwa nchi hii! Mhhhh utasoma magazeti cordon mpaka magufuri atonywe.
Ulifanyeje mkuuMatanzania ni mapumbavu Sana hata awe na elimu ya PhD bado unamkuta kakaliwshwa kwenye mbao za nssf anadanganywa.
Mimi nilimaliza kazi sehemu flani ikabidi niombe pesa yangu nssf ubungo plaza , Kitu nilichokifanya sidhani Kama watasahau.
Wewe ungetoa hiyo 20%?Mwambie huyo mstaafu ajiongeze la sivyo ataendelea kupauka
Hii ndio mikakati ya kufanya na sio kuwasubiri wabunge na mawaziri waje kukutetea.Mimi walinisumbua sana nikaamua kumuandikia barua mkurugenzi mkuu mfuko wa hifadhi ya jamii basi baada ya masaa 12 pesa yangu ikaingia.
Naomba unipe anuan ya mkurugenzi mkuu nataka na mm niandike baruaMimi walinisumbua sana nikaamua kumuandikia barua mkurugenzi mkuu mfuko wa hifadhi ya jamii basi baada ya masaa 12 pesa yangu ikaingia.
Mwambie huyo mstaafu ajiongeze la sivyo ataendelea kupauka
Acheni kutegemea viongozi Nyie watanganyika ndio maana shida hazipungui Licha ya viongoz kupambana kwa ajili yenu. Kiongozi ana nafasi Yake na raia mna nafasi yenu.
Sasa issue Kama hii kiongoz unamtaka wa nini?
Nendeni pale muuwashe Moto na ombeni kuonana na meneja mkuu sio hao vidagaa muone Kama hamtaanza kuogopwa.
Tatizo la watanzania hamjui haki zenu laiti mngekuwa mnajua Haki zenu Kitu Kama hiki sio Cha kutegemea Kiongozi akuteteee huo n upumbavu na ujinga tunaoulea wenyewe wakati uwezo wa kupambana na huu upuuzi uko mikonon mwenu
Very good idea..Watanganyika acheni ujinga , si uende TAKUKURU mumlambishe hela za Moto iwe fundisho.
Kama mnaona hamuwezi nenda kwa meneja wa hilo tawi mwambie utakuja kufanya tukio hata Mungu atashangaa
Kweeeli kabiiiisa, hii mijitu ya mifuko ya hifadhi ya jamii hainaga huruma wala utu,dawa ni kuwashikisha za moto. Akinyooshwa m'moja au wawili ndio watanyooka wote.Dawa yao ni kuwapa hela za moto tu,kama hawajakuonea huruma nao pia hupaswi kuwaonea huruma.