Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,705
- 1,953
Rais na Makamu wake wametoa agizo na ilani kwamba wale wote wanaofanya shughuli zinazoharibu maeneo oevu kama bonde la Ruaha, Usangi na Ihefu waache mora moja vinginevyo sheria itachukua mkondo wake.
LAKINI mama aliyeshitakiwa jana kwa kutoomba risiti dukani hakuambiwa aache tabia hiyo mara moja vinginevyo sheria itachukua mkondo wake. Which means hizo familia 12 zinazochepusha mto Ruaha na kufuga mifugo wanaziogopa.
Hivi mtu kama Dkt. Mpango na kusoma koooote huko na kutoka nje ya nchi inakuaje hajui kwamba
1. Sheria IS NOT negotiable (haizungumziki).
2. Kama utaamua sheria iwe negotiable basi haiwezi kuwa negotiable kwa Hamisi halafu isiwe negotiable kwa Sadiki
Mi sijawahi kuwa hata mjumbe wa nyumba 10. Iweje nijue misingi ya utawala bora ambayo ma Vice Presidents wa nchi hawaijui?