Hivi Shy-Rose Bhanji ana umri gani?

Hivi Shy-Rose Bhanji ana umri gani?

sio chini ya 45 yule mama. jafarai alikuwa anajiweka pale
 
Mhhh jamani mm kitendo cha kuwa mwalimu kuwalea watoto pale sekondari na huku mtaani vijana wengi kuniita brother basi kila nikiingia hapa jf najiona mm ndio moja ya watu wazima tuliopo. Sasa mtu kuniambia mwaka 1980 alikua cjui form three nimechoka sana.


SHIKAMOONI WAKUBWA ZANGU KM NIMEWAHI KUWAKERA NAOMBA MNISAMEHE HUU NI UTOTO TU UNAONISUMBUA.
....we dogo umenichekesha sana aisee,
..ila shkamoo gani unaturushia kama kuku tugombanie,amkia mmoja mmoja;
..anza na mimi!
 
Back
Top Bottom