Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nina hakika na nilichokiandika. Na hapa JF uwa sina tabia ya kuweka comment kwa kitu nisichokuwa na hakika nacho. Itoshe tu kusema kwamba namfahamu na pia ananifahamu vizuri kwa zaidi ya miaka 35. Labda nikuulize maswali mawili rahisi tu mkuu ili utakapobisha uwe na basis. 1. Zamani watu walikuwa wanaanza darasa la kwanza (shule ya msingi) wakiwa na umri gani? 2. Kwa kutumia jibu la swali la kwanza, mtu aliyemaliza darasa la saba mwaka 1982 kwa sasa atakuwa na umri gani?
Sikubaliani na ulichoandika, alimaliza Aga khan Mzizima form IV 1983, na alikuwa class moja na brother wakati huo mimi nipo form III hapohapo Mzizima na wakati huo nilikuwa nasoma na mdogo wake anaitwa Jamila walikuwa wanakaa Upanga, huyo ana 50yrs old.
Sikubaliani na ulichoandika, alimaliza Aga khan Mzizima form IV 1983, na alikuwa class moja na brother wakati huo mimi nipo form III hapohapo Mzizima na wakati huo nilikuwa nasoma na mdogo wake anaitwa Jamila walikuwa wanakaa Upanga, huyo ana 50yrs old.
kwa lugha nyingine wewe una 49!
Good!
hahaha nimependa ulivyokoconclude
2017 ndio hii bado wengine hatujelewa, unaweza kutufumbua macho kidogo.Huelewi anachofanya. Utakielewa 2017
THINK BIG
2017 ndo hii..you nailed it.. Kwa utabir huu hamia jukwaa la kubet km sijakosea...Huelewi anachofanya. Utakielewa 2017
THINK BIG
2017 ndio hii, na kashaelewa tayari..Huelewi anachofanya. Utakielewa 2017
THINK BIG
Mmmh2017 ndo hii..you nailed it.. Kwa utabir huu hamia jukwaa la kubet km sijakosea...
Ila kisura chake kama kabibi hiviii
mbona umepaniki? Kwani wewe ndo shy rose?Mkuu kwani lazima kutumia kauli za kuudhi humu?,ndo mana hatuna furaha duniani.