Hivi Shy-Rose Bhanji ana umri gani?

Hivi Shy-Rose Bhanji ana umri gani?

Si kweli labda kwenye makaratasi
Mkuu nina hakika na nilichokiandika. Na hapa JF uwa sina tabia ya kuweka comment kwa kitu nisichokuwa na hakika nacho. Itoshe tu kusema kwamba namfahamu na pia ananifahamu vizuri kwa zaidi ya miaka 35. Labda nikuulize maswali mawili rahisi tu mkuu ili utakapobisha uwe na basis. 1. Zamani watu walikuwa wanaanza darasa la kwanza (shule ya msingi) wakiwa na umri gani? 2. Kwa kutumia jibu la swali la kwanza, mtu aliyemaliza darasa la saba mwaka 1982 kwa sasa atakuwa na umri gani?
 
Kama Darasa La Saba Kamaliza 1982 Kwa UTAALAM Wangu Wa MAHESABU Sasa Atakuwa Anamtafuta Kiumri Rais Mstaafu Wa Awamu Ya Pili Mzee Wetu Alhaji Ally Hassan Mwinyi.
 
Aaaahahaha mkuu Gentamycine hapo sasa unaua bendi. Miaka hiyo watu walikuwa wakianza darasa la kwanza shule ya msingi wakiwa na miaka kuanzia saba na kuendelea. Kwa hiyo umri wa miaka 7 ongeza miaka 7 ya kusoma shule ya msingi=14 (hapo ni mwaka 1982 alipokuwa anamaliza darasa la saba). Kutoka 1982 hadi leo 2015 ni miaka 33. Kwa mahesabu hayo 14+33=47 years. Narudia....I'm pretty damn sure of what I'm saying guys.
 
mkuu usemalo ni kweli 1989 kma sikosei alikua frm 6 lake sec school mwz....mimi nkiwa lake primary
 
Back
Top Bottom