Hivi Shy-Rose Bhanji ana umri gani?

Hivi Shy-Rose Bhanji ana umri gani?

Kila nikimtathmini hasa matendo yake na kubwa zaidi kupenda kupiga picha na kutupia mitandaoni mara akiwa kamshika huyu au kapozi hivi sometimes kihasara hasara na vitu anavyoviandika achilia mbali vya kupost huwa nashindwa kumwelewa huyu yupo ktk kundi gani.

Naomba anayemjua zaidi atiririke hapa ili nizidi kumfahamu zaidi na hasa ukizingatia kuwa yeye ni public figure.

Na mwisho naomba kujua sifa za kuwa mbunge wa Afrika ya Mashariki ni zipi?

Nitawashukuruni mkinijibu members.

...teh hee hee..watu bwana!,huu uzi umefufuliwa!
..sasa kama dogo,tena ka-popoma kalikotukuka ulifanya katathmini kako ka-kipopoma zaidi ya mwaka na robo uliopita,
..itakuwa Amiri Jeshi Mkuu na Mheshimiwa Mwenyekiti?
..acha nilale tu,maisha ni lazima yaendelee!
 
Mhhh jamani mm kitendo cha kuwa mwalimu kuwalea watoto pale sekondari na huku mtaani vijana wengi kuniita brother basi kila nikiingia hapa jf najiona mm ndio moja ya watu wazima tuliopo. Sasa mtu kuniambia mwaka 1980 alikua cjui form three nimechoka sana.

SHIKAMOONI WAKUBWA ZANGU KM NIMEWAHI KUWAKERA NAOMBA MNISAMEHE HUU NI UTOTO TU UNAONISUMBUA.
 
HayO hayo mkuu, ila nilisikia yule mzee sio mtz ni wa kule kwa Kagame kuna kipindi Sirikali ilimpa tabu sana. Alitusumbua sana wa Lake Sec. hasa kukwamisha safari za kutoroka shule mida ya break asubuhi yaani alikua anatuchoma live kwa Mwalimu mkuu Father DE.
Sasa ulikuwa unatoroka kwenda Isamilo au kurudi kirumba au Nyakato
 
Ngoja mfikie that age tuone kama bado mta demonize the age. Tz siku hz kuna katabia ka kudharau umri wa watu ila cha kushangaza huyo anaye weka dharau pamoja na kuwa umri wake ni mdogo sura imekongoroka, go figure![emoji30]
 
Mhhh jamani mm kitendo cha kuwa mwalimu kuwalea watoto pale sekondari na huku mtaani vijana wengi kuniita brother basi kila nikiingia hapa jf najiona mm ndio moja ya watu wazima tuliopo. Sasa mtu kuniambia mwaka 1980 alikua cjui form three nimechoka sana.

SHIKAMOONI WAKUBWA ZANGU KM NIMEWAHI KUWAKERA NAOMBA MNISAMEHE HUU NI UTOTO TU UNAONISUMBUA.
mimi mwaka 1980 ndio nastaafu kazi......na bado nina mpango wa kuoa mwakani
 
Utaacha lini umalaya swaiba? Hapo unataka information tu kwa wanaomjua ili ukipewa data kamili uanze kumfukuzia,tatizo lako unapenda mno papuchi wewe ukimgegeda huyo na kibarua chako cha umbea kutoka kampuni ya SSIT kinaota mbawa,muulize Jaffarai alipata gundu la milele hadi leo hajulikani hata alipo,mara ya mwisho alionekana London akifanya kibarua cha kuosha magari.
Ahahahahahahaaaaaaaa
 
Mhhh jamani mm kitendo cha kuwa mwalimu kuwalea watoto pale sekondari na huku mtaani vijana wengi kuniita brother basi kila nikiingia hapa jf najiona mm ndio moja ya watu wazima tuliopo. Sasa mtu kuniambia mwaka 1980 alikua cjui form three nimechoka sana.

SHIKAMOONI WAKUBWA ZANGU KM NIMEWAHI KUWAKERA NAOMBA MNISAMEHE HUU NI UTOTO TU UNAONISUMBUA.
Marhaba dogo
 
Back
Top Bottom