matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #161
IGP apokee maua.IGP wa sasa yeye anasifika mno kwa kushughulikia majambaka!! Ni mwendo wa chuma tu!
Naona majambaka wengi wakaona wahamie kwenye “ile pesa tuma kwenye namba hii”.