MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Nikikumbuka walimuua mtoto Sanawari Arusha mwaka 2004 ninapata hasira mno dhidi ya majambazi.Wale wajomba hawafai kabisa aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikikumbuka walimuua mtoto Sanawari Arusha mwaka 2004 ninapata hasira mno dhidi ya majambazi.Wale wajomba hawafai kabisa aisee.
Alisaidia sana, Japo kwa sababu shetani hajafa wakipata mwanya atashawishi wengine watusymbue. Ilq tunaomba amani ya kitaifa na ya mmoja mmoja. Ni uhai kwanza.Kwenye awamu ya JPM waliuwawa na kufungwa sana. Vibaka na majambazi walipotezwa mno. Wengi walikimbilia SA ambako nako wengi wameuwawa.
Wamegundua hakuna mabikra 70 huko kama walivyohaidiwa😃😃Dunia inaenda kasi, hata wale mqgaidi wa kujilipua nao hawapo siku hizi.
Tunafanya kazi yetu vzrKabla ya awamu iliyokatishia njiani na hii ya sasa ilikuwa haipiti wiki unasikia watu wamevamiwa, majambazi yameuwawa ila siku hzi hizo habari hazipo kwa kasi ile.
Cha ajabu sikuhizi vimeibuka vituo vingi (benk ndogo) mitaani vinavyofanya kazi kwa miamala ya simu na Benki. Zamani ikifika saa 12 vituo hivi kama sio kufungwa basi hawawezi kufanya miamala zaidi ya 100K. Sasa hivi hata 1M unaweza kutoa usiku na hakuna matata.
Sababu ya huu ushwari ni nini?
1: Majambazi yalitokomezwa kabisa?
2: Jeshi la Polisi liko imara?
3: Majambazi wametafuta shughuli za kufanya au wameadvance zaidi?
4: Upo ila taarifa ndio wengi hatuzipati?
5: Mama anaendelea kuupiga wa kutosha?
Ni hayo tu.
Ni tukio gani ambalo hautalisahau.
Mna udini sana, na ni uchokozi tu unatafuta, lakini "hawatawadhuru isipokuwa maudhi tu"Wamegundua hakuna mabikra 70 huko kama walivyohaidiwa😃😃
Hahaha vijana wa chips 🍟Mifumo ya kihifadhi fedha pia imeimarika sio kama zamani. Pia Hawa vijana Wala chips nguvu na ujasiri hawana sasa hivi
Hongera sana kwa Jeshi la Polisi.Majambazi wengi wamemalizwa na polisi, kwani ukuaji wa technology umerahisisha sana kuwakamata majambazi, yaani hata akimbilie wapi kwa jinsi Cyber unit ya police wetu iko advance sana, sasa majambazi wao bila simu hawawezi fanya kazi, so walinaswa kama kuku na kupotezwa..
Pili, sbb ya technology miamala ya fedha mingi ni mitandaoni, watu hawana cash kabisa siku hizi, yaani huwezi mkuta mtu ana mil 2 au 3 cash anabeba, fedha zote ziko mitandaoni, sasa majambazi ataibia nini? Yaani huwezi kuta mtu ndani ya nyumba au kwenye gari kabeba mil 5, yaani sio rahisi na haipo, maana hakuna sbb ya kubeba mzigo wakati fedha ukitaka kiasi chochote unatoa kwa simu yaani easy access to money online na katika mitandao ya simu imeondoa cash payment au kubabe fedha nyingi kuvutia uwizi..!!
Ila kubwa zaidi ni Polisi wetu wamefanya kazi kubwa sana sanaaa, pongezi ziende kwao.!!
Majambazi yote yapo si si emu! Wakati huu yanakula kwanza hela za uchaguzi. Yakitoka huko, shughuli inaanza tena.Kabla ya awamu iliyokatishia njiani na hii ya sasa ilikuwa haipiti wiki unasikia watu wamevamiwa, majambazi yameuwawa ila siku hzi hizo habari hazipo kwa kasi ile.
Cha ajabu sikuhizi vimeibuka vituo vingi (benk ndogo) mitaani vinavyofanya kazi kwa miamala ya simu na Benki. Zamani ikifika saa 12 vituo hivi kama sio kufungwa basi hawawezi kufanya miamala zaidi ya 100K. Sasa hivi hata 1M unaweza kutoa usiku na hakuna matata.
Sababu ya huu ushwari ni nini?
1: Majambazi yalitokomezwa kabisa?
2: Jeshi la Polisi liko imara?
3: Majambazi wametafuta shughuli za kufanya au wameadvance zaidi?
4: Upo ila taarifa ndio wengi hatuzipati?
5: Mama anaendelea kuupiga wa kutosha?
Ni hayo tu.
Ni tukio gani ambalo hautalisahau.
Nisamehe mkuu sikumaanisha kiwaudhi..Mna udini sana, na ni uchokozi tu unatafuta, lakini "hawatawadhuru isipokuwa maudhi tu"
Endeleeni kuudhi na kuudhi tu
Nasikia Yanga imekua timu ya chama na serikali..so na wao siku hizi ni majambazi...😃😃😃Majambazi yote yapo si si emu! Wakati huu yanakula kwanza hela za uchaguzi. Yakitoka huko, shughuli inaanza tena.
IGP wa sasa yeye anasifika mno kwa kushughulikia majambaka!! Ni mwendo wa chuma tu!Kabla ya awamu iliyokatishia njiani na hii ya sasa ilikuwa haipiti wiki unasikia watu wamevamiwa, majambazi yameuwawa ila siku hzi hizo habari hazipo kwa kasi ile.