Hivi siku hizi hakuna majambazi?

Hivi siku hizi hakuna majambazi?

Kabla ya awamu iliyokatishia njiani na hii ya sasa ilikuwa haipiti wiki unasikia watu wamevamiwa, majambazi yameuwawa ila siku hzi hizo habari hazipo kwa kasi ile.

Cha ajabu sikuhizi vimeibuka vituo vingi (benk ndogo) mitaani vinavyofanya kazi kwa miamala ya simu na Benki. Zamani ikifika saa 12 vituo hivi kama sio kufungwa basi hawawezi kufanya miamala zaidi ya 100K. Sasa hivi hata 1M unaweza kutoa usiku na hakuna matata.

Sababu ya huu ushwari ni nini?

1: Majambazi yalitokomezwa kabisa?
2: Jeshi la Polisi liko imara?
3: Majambazi wametafuta shughuli za kufanya au wameadvance zaidi?
4: Upo ila taarifa ndio wengi hatuzipati?
5: Mama anaendelea kuupiga wa kutosha?

Ni hayo tu.
Ni tukio gani ambalo hautalisahau.
Saiv hela inapatikana kwenye kafara na ma Apostles.
 
Kule niliwahi kupanda bus nyuma kuna Polisi wanaescort wako na mashine zao. Nikashngaa nini tena hii? Jamaa wakasema bila hivyo kutokq tunzewe hqdi nyakanazi tu hutoboi. Ila siku hizi tunakatiza tu bila mabunduki.
Umenikumbusha mara ya kwanza safari ya Kigoma, hapo Runzewe waliingia askari wawili na mashine tulipofika Nyakanazi wakashuka wakaingia wajeda wawili.
 
Uchumi umeimarika , maadili na michongo imekuwa mingi,
Jeshi la polisi liko imara sana, mpaka wao Sasa ndio wamekuwa watekaji na wauwaji wa raia.

Ukuwaji wa technology imesaidia sana ujambazi kupungua.

Nakumbuka tukio la kkkt kimara, zilikuja defenders 3, zikiwa na njemba kama 6 ivi, wakawafungia waumini ndani ya kanisa hakuna kutoka MTU, wakaingia jengo la muasibu , wakatoa pipe wakapewa sadaka za makusanyo ya juma2 hio, ZaidI ya mil35 .
Walitokomea kusikojuliiana huku defender MOJA ikibaki kuhakikisha wale walio tangulia hawafuatiliwi, nao baadae wakatokomea kwa mwendo wa ngiri. 2012
Hilo tukio la Kimara lilikiwa mwaka gani Mkuu?
 
Walikuja na difenda?
ndio hao hao, siku hizi wanaitwa watu wasiojulikana kazi yao kuteka au kuua

nakumbuka tukio moja hv, pale ubungo waliiba benk wakatokomea tena hapohapo ubungo kukawa na cruza inasafirisha pesa zikapigwa sana risasi, trafik mmoja akawa shujaa kupambana nao, ktk majeruhi wengine wakakutwa lugalo wakitibiwa
Ndio defender
 
Wale majambaka hawafai.
Teknolojia ya homesecurity system nayo imesaidia kuna gadgets nyingi unaweza kutegesha ukamtia wasiwasi asijuie umejipangaje.
Techno imesidia kidogo sana. Soma thread namba 8. Aisee mwamba hakuwa na utani.

Ndio maana tunasema mambo yanawezekana!

No 1 akiamua, hata hawa vibaka wa simu kamwe hutawaona.
 
Kabla ya awamu iliyokatishia njiani na hii ya sasa ilikuwa haipiti wiki unasikia watu wamevamiwa, majambazi yameuwawa ila siku hzi hizo habari hazipo kwa kasi ile.

Cha ajabu sikuhizi vimeibuka vituo vingi (benk ndogo) mitaani vinavyofanya kazi kwa miamala ya simu na Benki. Zamani ikifika saa 12 vituo hivi kama sio kufungwa basi hawawezi kufanya miamala zaidi ya 100K. Sasa hivi hata 1M unaweza kutoa usiku na hakuna matata.

Sababu ya huu ushwari ni nini?

1: Majambazi yalitokomezwa kabisa?
2: Jeshi la Polisi liko imara?
3: Majambazi wametafuta shughuli za kufanya au wameadvance zaidi?
4: Upo ila taarifa ndio wengi hatuzipati?
5: Mama anaendelea kuupiga wa kutosha?

Ni hayo tu.
Ni tukio gani ambalo hautalisahau.
Jambazi alikuwa KIPAGATI Iringa,,,,,,na KADOGOO Moshi,,,,,,
WEngine katika historia ya Ujambazi Tanznia ni wachumba tu.
 
Nenda polini ukawaangalie fisi walivonenepa.

PT na Teeth wapongezwe sana kuwapeleka kwa Bwana Hawa viumbe.

Tumpongeze sana aliyetoa "go-ahead" ya kuwapeleka kuume kwa baba wale mbwa.

Kama una ndugu jambazi, mganga WA jadi mpiga ramri, daktari anyetibu majeruhi WA risasi bila pf3, mchepuko WA jambazi au unapenda kuwasilisha na jambanoka...... muda wowote hard top aka kluza mkonga itakufikia na ndugu msijisumbue kumtafuta so long as mnajua tabiaa yake.

Kwa sasa Hadi vibaka tujipange kuwabatiza kwa petroli kisha kiberiti.

Mungu wabariki wapiga vyumba wote, bariki kluza zao na uwape jicho pevu ili majambazi yaendelee kuletwa kwako baba.
 
Kabla ya awamu iliyokatishia njiani na hii ya sasa ilikuwa haipiti wiki unasikia watu wamevamiwa, majambazi yameuwawa ila siku hzi hizo habari hazipo kwa kasi ile.

Cha ajabu sikuhizi vimeibuka vituo vingi (benk ndogo) mitaani vinavyofanya kazi kwa miamala ya simu na Benki. Zamani ikifika saa 12 vituo hivi kama sio kufungwa basi hawawezi kufanya miamala zaidi ya 100K. Sasa hivi hata 1M unaweza kutoa usiku na hakuna matata.

Sababu ya huu ushwari ni nini?

1: Majambazi yalitokomezwa kabisa?
2: Jeshi la Polisi liko imara?
3: Majambazi wametafuta shughuli za kufanya au wameadvance zaidi?
4: Upo ila taarifa ndio wengi hatuzipati?
5: Mama anaendelea kuupiga wa kutosha?

Ni hayo tu.
Ni tukio gani ambalo hautalisahau.
Tupo mkuu tunakula mafao kwanza
 
Back
Top Bottom