secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Kwa kiasi FulaniUnamaanisha uchawa umechangia kupunguza ujambaka 😆😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kiasi FulaniUnamaanisha uchawa umechangia kupunguza ujambaka 😆😆😆
SijaelewaUchumi umeimarika , maadili na michongo imekuwa mingi,
Jeshi la polisi liko imara sana, mpaka wao Sasa ndio wamekuwa watekaji na wauwaji wa raia.
Ukuwaji wa technology imesaidia sana ujambazi kupungua.
Nakumbuka tukio la kkkt kimara, zilikuja defenders 3, zikiwa na njemba kama 6 ivi, wakawafungia waumini ndani ya kanisa hakuna kutoka MTU, wakaingia jengo la muasibu , wakatoa pipe wakapewa sadaka za makusanyo ya juma2 hio, ZaidI ya mil35 .
Walitokomea kusikojuliiana huku defender MOJA ikibaki kuhakikisha wale walio tangulia hawafuatiliwi, nao baadae wakatokomea kwa mwendo wa ngiri. 2012
Hela ya sadaka hamna mwenye uhalali nayo acha hao majambazi waichukueUchumi umeimarika , maadili na michongo imekuwa mingi,
Jeshi la polisi liko imara sana, mpaka wao Sasa ndio wamekuwa watekaji na wauwaji wa raia.
Ukuwaji wa technology imesaidia sana ujambazi kupungua.
Nakumbuka tukio la kkkt kimara, zilikuja defenders 3, zikiwa na njemba kama 6 ivi, wakawafungia waumini ndani ya kanisa hakuna kutoka MTU, wakaingia jengo la muasibu , wakatoa pipe wakapewa sadaka za makusanyo ya juma2 hio, ZaidI ya mil35 .
Walitokomea kusikojuliiana huku defender MOJA ikibaki kuhakikisha wale walio tangulia hawafuatiliwi, nao baadae wakatokomea kwa mwendo wa ngiri. 2012
Tukio kama hilo ni ngumu kufanyika bila kuwa na taarifa za ndani (inside job)....Uchumi umeimarika , maadili na michongo imekuwa mingi,
Jeshi la polisi liko imara sana, mpaka wao Sasa ndio wamekuwa watekaji na wauwaji wa raia.
Ukuwaji wa technology imesaidia sana ujambazi kupungua.
Nakumbuka tukio la kkkt kimara, zilikuja defenders 3, zikiwa na njemba kama 6 ivi, wakawafungia waumini ndani ya kanisa hakuna kutoka MTU, wakaingia jengo la muasibu , wakatoa pipe wakapewa sadaka za makusanyo ya juma2 hio, ZaidI ya mil35 .
Walitokomea kusikojuliiana huku defender MOJA ikibaki kuhakikisha wale walio tangulia hawafuatiliwi, nao baadae wakatokomea kwa mwendo wa ngiri. 2012
Siku hizi ujambazi umerahisishwa,shamba la bibi ,bibi hayupo tena japo awachukulie bakora wajukuu wakora,hivyo wanajichukulia tu,hawahitaji tena japo kuchukua manati ili kumtisha bibi!Kabla ya awamu iliyokatishia njiani na hii ya sasa ilikuwa haipiti wiki unasikia watu wamevamiwa, majambazi yameuwawa ila siku hzi hizo habari hazipo kwa kasi ile.
Cha ajabu sikuhizi vimeibuka vituo vingi (benk ndogo) mitaani vinavyofanya kazi kwa miamala ya simu na Benki. Zamani ikifika saa 12 vituo hivi kama sio kufungwa basi hawawezi kufanya miamala zaidi ya 100K. Sasa hivi hata 1M unaweza kutoa usiku na hakuna matata.
Sababu ya huu ushwari ni nini?
1: Majambazi yalitokomezwa kabisa?
2: Jeshi la Polisi liko imara?
3: Majambazi wametafuta shughuli za kufanya au wameadvance zaidi?
4: Upo ila taarifa ndio wengi hatuzipati?
5: Mama anaendelea kuupiga wa kutosha?
Ni hayo tu.
Ni tukio gani ambalo hautalisahau.
Kipindi kile, ukikutwa na Bunduki ni bye bye 👋.Walikutana na Magufuli
Jiwe bwana, kuna mambo alifanya anastahili sana pongezi mfano hili piaYamebaki makaburi na picha za kumbukumbuku.. Hiyo awamu iliyopita haikuwa na msalie mtume.. Walifuatwa waliko wakamalizwa huko huko kimya kimya
Hawa waliobaki kwa haya tunayopitia hata sisi wanatuonea huruma
Kisa kasema hivyo? Hebu jaribu kuwa jambazi kuprove alichosemaww jamaa utakuwa "pongo" ww
JESUS IS LORD&SAVIOR
Sema mwendo ni kuchota tu.Tanzania sasa hivi ufanye ujambazi au ugaidi utakuwa kwanza akili huna na hujipendi wewe binafsi kama wewe
Nahisi ana hamu nayo majomba zakeUmeyamiss majambazi?
Mbona yamejaa korido za rangi mboga?Nahisi ana hamu nayo majomba zake
Umewamiss mkuu?Kabla ya awamu iliyokatishia njiani na hii ya sasa ilikuwa haipiti wiki unasikia watu wamevamiwa, majambazi yameuwawa ila siku hzi hizo habari hazipo kwa kasi ile.
Cha ajabu sikuhizi vimeibuka vituo vingi (benk ndogo) mitaani vinavyofanya kazi kwa miamala ya simu na Benki. Zamani ikifika saa 12 vituo hivi kama sio kufungwa basi hawawezi kufanya miamala zaidi ya 100K. Sasa hivi hata 1M unaweza kutoa usiku na hakuna matata.
Sababu ya huu ushwari ni nini?
1: Majambazi yalitokomezwa kabisa?
2: Jeshi la Polisi liko imara?
3: Majambazi wametafuta shughuli za kufanya au wameadvance zaidi?
4: Upo ila taarifa ndio wengi hatuzipati?
5: Mama anaendelea kuupiga wa kutosha?
Ni hayo tu.
Ni tukio gani ambalo hautalisahau.
No. siwezi kuwa jambazi, Mungu anakataza.Kisa kasema hivyo? Hebu jaribu kuwa jambazi kuprove alichosema
Vyombo vya usalama vya Tanzania sasa hivi wana zero tolerance kwenye ugaidi na ujambazi iwe kwenye planning stage ,au implementationSema mwendo ni kuchota tu.
Aisee umenikumbusha ule mtiti wa wale washenzi , ilikuwa ni balaa 2004 kama sikosei hiyo mzee , actually Mimi nilikuwa mhanga wa hao wapuuzi , nilikuwa nakaa na wazazi wangu mtaa wa Kiloleli - Mwanza , Tulivamiwa usiku mmoja wale wapuuzi walikuwa wanavunja milango kwa mawe flani yanaitwa Fatuma .Kuna wale walikuwa wahaishi mapangoni kule mwanza, siku wanapelekewa moto ilikuwa ni zaidi ya vita. Zilirindima risasi z kutosha hadi wakawa neutralized.
Kwani hao uliowataja walikuwa majambazi?Kwa kawaida majambazi huwa ni watu wenye ufanisi mdogo katika kazi mbalimbali ambazo ni halali lakini siku hizi wanapata pesa kirahisi kwa mfano baadhi ya watu wanapewa pesa kisa wanawasifia wenye pesa (wamekuwa machawa). Angalia mtu kama Mwijaku, Baba levo bila kumsahau Maulidi Kitenge.
Fauka ya hayo, kuna watu wamekuwa tena wanaume wazima wamekuwa mashuhuri kwa kuuza nyuma (mtu mmoja humu ndani hupenda kuita kinye###), nasikia kwa Tanzania yetu Mr pdidy ameshatembea na watu kadhaa na kuwawezesha kiuchumi, labda Mr pdidy asingekuwepo hawa jamaa wangukuwa majambazi.
Hivyo basi tunapokemea uchawa na matendo ya watu kugawa nyuma kama njugu tujitafakari ili tujue iwapo yanahasara tu au pia yanafaida.
ONA JEMA KWENYE KWENYE BAYA!!