Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyaa sio poaNi balaa.
Kuna wale walikuwa wahaishi mapangoni kule mwanza, siku wanapelekewa moto ilikuwa ni zaidi ya vita. Zilirindima risasi z kutosha hadi wakawa neutralized.Walokuwa wakifunga mtaaa unafungikaaaa
VIjana wengi walozaliwa 2020's hawana mitikasi ka wazee wa 60-80's
Kuuliza sio ujinga. Kunaweza kukawa na ujambazi unaendelea kumbe taarifa ndio zipo.Wewe Ndio Mtanzania pekee unae miss milio ya bunduki...
Majambazi wengi wako kwenye ripoti ya mkaguzi mkuu .
Hii ilikua ni kazi iliyotukuka kutoka kwa Mafwele.(apewe maua yake).Yamebaki makaburi na picha za kumbukumbuku.. Hiyo awamu iliyopita haikuwa na msalie mtume.. Walifuatwa waliko wakamalizwa huko huko kimya kimya
Hawa waliobaki kwa haya tunayopitia hata sisi wanatuonea huruma
Hapo kwenye miamala ya kielektronic nimeelewa zaidi.Siku hizi wengi hawatembei na pesa miamala inafanyika kielectroniki au kwa njia ya benki
pongezi kwa polisi, maana walikua wanawapoteza pasipo kuwafikisha mahakamani, itakuwa wamepungua na wengine kufanya mambo mengine
Mambo yanabqdilika kwa kasi. Hata ukiacha sekta hii ya uharifu hata sekta nyingin4 halali zinabadilika au badil8shwa kwa kasi sana mtu aspojiongeza anaweza kudhali kalogwa kumbe amegoma kubadilika.Ujambazi umepungua kwa sababu kuu moja watu sasa hivi hawatembei na cash.mitandao ya simu imesaidia sana mawakala wa mabenki wametapakaa kila mahali zamani wakiteka basi Wana uhakika wa makusanyo ya kutosha sababu watu walitembea na cash.sasa hivi unateka basi watu hawana pesa mtu unakuta Ana elfu kumi tu ya kula
Yamebaki makaburi na picha za kumbukumbuku.. Hiyo awamu iliyopita haikuwa na msalie mtume.. Walifuatwa waliko wakamalizwa huko huko kimya kimya
Hawa waliobaki kwa haya tunayopitia hata sisi wanatuonea huruma
Au wanapiga matukio kisayance..Kuuliza sio ujinga. Kunaweza kukawa na ujambazi unaendelea kumbe taarifa ndio zipo.
Hao wa kwenye rippti walikuwa wengi zaidi enzi za yale majambazi ya risasi kuliko hata siku hizi. Wenda na wao wameadvance au wanakula za halali.
Upo sahihi. Yamepata kazi mbadala yanakula kiulaini.Badala ya kusumbuana maporini kuteka magari sasa hivi ni kupoteza tu analipwa 50M bila jasho.
Majambazi yaliyobaki ni Wasiojulikana. Kuna uwezekano wamebadilisha fani au wamebadilishiwa fani.
SahihiUjambazi umepungua kwa sababu kuu moja watu sasa hivi hawatembei na cash.mitandao ya simu imesaidia sana mawakala wa mabenki wametapakaa kila mahali zamani wakiteka basi Wana uhakika wa makusanyo ya kutosha sababu watu walitembea na cash.sasa hivi unateka basi watu hawana pesa mtu unakuta Ana elfu kumi tu ya kula
Hapo kwa mwendo wa ngiri umesahau mkia juu😀Uchumi umeimarika , maadili na michongo imekuwa mingi,
Jeshi la polisi liko imara sana, mpaka wao Sasa ndio wamekuwa watekaji na wauwaji wa raia.
Ukuwaji wa technology imesaidia sana ujambazi kupungua.
Nakumbuka tukio la kkkt kimara, zilikuja defenders 3, zikiwa na njemba kama 6 ivi, wakawafungia waumini ndani ya kanisa hakuna kutoka MTU, wakaingia jengo la muasibu , wakatoa pipe wakapewa sadaka za makusanyo ya juma2 hio, ZaidI ya mil35 .
Walitokomea kusikojuliiana huku defender MOJA ikibaki kuhakikisha wale walio tangulia hawafuatiliwi, nao baadae wakatokomea kwa mwendo wa ngiri. 2012