Hivi siku nchi yetu ikifikia steji ya mwisho kama Zimbabwe. CCM wataongea nini na kumlaumu nani

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Tokea kupata uhuru ni CCM kipo madarakani.

Taifa mumeligeuza mali ya chama.Siku nchi imekuwa corrupt ni nani mtamlaumu na mtawaeleza ninu wananchi.
 
Bado watawalaumu CHADEMA na Lissu
 
Tokea kupata uhuru ni CCM kipo madarakani.

Taifa mumeligeuza mali ya chama.Siku nchi imekuwa corrupt ni nani mtamlaumu na mtawaeleza ninu wananchi.
Watailaumu CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…