Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Karibu kesho Lupaso uangalie wana fainali ya CAF wanavyoleta show ya nguvu.Hivi zile beki zenu fupi fupi Kibwana na Job hamjazipa thank you...! Maana naona Mijitu inayosajiliwa na wenzenu huko Unyamani ni Mirefu mirefu...!
Msije mkaanza Kulia lia tena kuwa beki fupi zimewaponza...!
Subiri kinakuja kichapo cha Nyau koko kwa mnyama π¦ plus kuporwa ubingwa kwa miaka 5,mfululizo tukianza na msimu tutakao uanza hivi karibuni πππHivi zile beki zenu fupi fupi Kibwana na Job hamjazipa thank you...! Maana naona Mijitu inayosajiliwa na wenzenu huko Unyamani ni Mirefu mirefu...!
Msije mkaanza Kulia lia tena kuwa beki fupi zimewaponza...!
Aziz Ki bora hata ya MkudeHivi Simba mnajuwa kinachoendelea Yanga? Picha inaweza kuongea zaidi, kipande cha cream ya Asec mimosa Kipo Yanga.
Subiri uone combination yake imetimia.Aziz Ki bora hata ya Mkude
Tukutane kesho kwa Mkapa Lupaso Yanga Vs Kaizer Chiefs.
Nabi alisajiliwa wachezaji wenye viwango.Na hivi Nabi hayupo, sijui
[emoji16][emoji16] acha kabisa mkuu.Ushabiki wa Simba na Yanga muda mwingine ni bange tosha.
Unadhani hata wangehamisha kikosi kizima cha asec mimosas wangefanya nini?
Yaani tumaini unaliweka zaidi kwenye mpira wa miguu!
Wanafainali ya CAFCC sio CAFKaribu kesho Lupaso uangalie wana fainali ya CAF wanavyoleta show ya nguvu.
Asec nzima ilikula tatu kwa simba, je wachezaj wanne wa asec ndan ya yanga itakuwaje?Ushabiki wa Simba na Yanga muda mwingine ni bange tosha.
Unadhani hata wangehamisha kikosi kizima cha asec mimosas wangefanya nini?
Yaani tumaini unaliweka zaidi kwenye mpira wa miguu!
Dah!....fomesheni imekamilika...bado mrithi wa Mayele tuHivi Simba mnajuwa kinachoendelea Yanga?
Picha inaweza kuongea zaidi, kipande cha cream ya Asec mimosa Kipo Yanga.
Wanaojuwa mpira kuna kitu mtakigunduwa hapa maana halisi ya kusajili na kukurupuka.
Set ya Wacongo ililipa, je set ya Asec Mimosa tutalajie nini?
Tukutane kesho kwa Mkapa Lupaso Yanga Vs Kaizer Chiefs.
View attachment 2695141
Nani kakwambia urefu ndo mpira,ndo maana mnaishiaga robo nyie kwa fikra finyu.Hivi zile beki zenu fupi fupi Kibwana na Job hamjazipa thank you...! Maana naona Mijitu inayosajiliwa na wenzenu huko Unyamani ni Mirefu mirefu...!
Msije mkaanza Kulia lia tena kuwa beki fupi zimewaponza...!