rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
wakati Simba wanawafunga Asec hizo combination zilikuwa wapi, Simba keshakutana na combination za Kila aina lakini muziki wanaupata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laiti mngekua mnajua kusikiliza na kuelewa basi hiyo clip wala msingekua mnaishadadia kuipa umaarufu.
Kwa njia yoyote ile, kwa kucheza nayo au kwa kuisikia, alichosema ni kwamba hajawahi kwa Yanga ila kwa SimbaLaiti mngekua mnajua kusikiliza na kuelewa basi hiyo clip wala msingekua mnaishadadia kuipa umaarufu.
Amejibu kuwa hafahamu kuhusu Yanga, ila anafahamu kuhusu Simba sababu wamewahi kucheza nayo.
So hapo haiwafanyi kuwa na chochote, anaifahamu sababu wamewahi kukutana, si kwa kingine ambacho mnajaribu kujifariji nacho.
Kama siyo CAF basi ni UEFA.Wanafainali ya CAFCC sio CAF
CAF ndio kombe gani unaogopa Nini kulitaja ni sawa na mwanafunzi anasema nasoma chuo kikuu,Kisha anajificha , sema hapo chuo kikuu unachukua degree ,masters ,phd, au diploma .Huko Caf Kuna mataifa,Club bingwa,super league,super cup,shirikisho.Karibu kesho Lupaso uangalie wana fainali ya CAF wanavyoleta show ya nguvu.
Hivi huo upaja wa Aziz Ki ni peke yangu nimeuona ulivyopungua ghafla?Hivi Simba mnajuwa kinachoendelea Yanga?
Picha inaweza kuongea zaidi, kipande cha cream ya Asec mimosa Kipo Yanga.
Wanaojuwa mpira kuna kitu mtakigunduwa hapa maana halisi ya kusajili na kukurupuka.
Set ya Wacongo ililipa, je set ya Asec Mimosa tutalajie nini?
Tukutane kesho kwa Mkapa Lupaso Yanga Vs Kaizer Chiefs.
View attachment 2695141
Maccm tangu lini yakamiliki akili?CAF ndio kombe gani unaogopa Nini kulitaja ni sawa na mwanafunzi anasema nasoma chuo kikuu,Kisha anajificha , sema hapo chuo kikuu unachukua degree ,masters ,phd, au diploma .Huko Caf Kuna mataifa,Club bingwa,super league,super cup,shirikisho.
Mkuu una uchungu sana Yanga kutawala soka la bongo, uko kwenye Denial stage, ni vizuri ukihamia Acceptance stage Ili uishi kwa amani,Ushabiki wa Simba na Yanga muda mwingine ni bange tosha.
Unadhani hata wangehamisha kikosi kizima cha asec mimosas wangefanya nini?
Yaani tumaini unaliweka zaidi kwenye mpira wa miguu!
akili bila hela ni umasikini tupuMaccm tangu lini yakamiliki akili?
Hawa wakiwa pamoja waliisaidia Asec kufika wapi labda Africa?Hivi Simba mnajuwa kinachoendelea Yanga?
Picha inaweza kuongea zaidi, kipande cha cream ya Asec mimosa Kipo Yanga.
Wanaojuwa mpira kuna kitu mtakigunduwa hapa maana halisi ya kusajili na kukurupuka.
Set ya Wacongo ililipa, je set ya Asec Mimosa tutalajie nini?
Tukutane kesho kwa Mkapa Lupaso Yanga Vs Kaizer Chiefs.
View attachment 2695141
Wakati wanawatandika bao 3 ulikuwa wapi?Hawa wakiwa pamoja waliisaidia Asec kufika wapi labda Africa?
Nasi tukaja tukawarudishia hizo hizo 3 piaWakati wanawatandika bao 3 ulikuwa wapi?
Chini ya kocha yupi? Timu Ni kocha pia.Subiri uone combination yake imetimia.